Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,873
- 29,048
Karibu sana, nitakufungashia kipèrcel nikutumieKuna mchunga mzuri sana kipande hiyo ndimu huu wa masika
Karibu sana, nitakufungashia kipèrcel nikutumieKuna mchunga mzuri sana kipande hiyo ndimu huu wa masika
Kweli kabisa tope balaa na huu mfinyazi ni utelezi wa kufa mtu walaiKiluvya dsm unapajua ? Tumelala nayo tumeamka nayo ,aridhi imejaa maji Ni tope balaa
Mashehe si mliiombea?Hali ni mbaya, hii mvua tunaipenda lkn sasa imezidi, nikiwa fire kitu kilinyesha sijawahi kuona, watoto wanaosoma shule za hapa katikati ya mji cha moto wanakiona
Ngoja nibebe ndoanoAsubuhi hii hapa Posta Mpya tunavua kambale tena katikati ya barabara.
Bahati mbaya sikuwa kati ya walioomba, kama ningekuwa mmoja wao ningeomba inyeshe kwa kiasiMashehe si mliiombea?
Labda kinondoni ya huko kijijini kwaoMkuu kinondoni ipi uliyopo wewe, Niko close na mahakama ya kino Apa mvua haikatiki mzee.
Chikanda inapatikana?uku sumbawanga naona hainyeshi
kabisa 😂, haka kabarabara kanapita nje mahakamani tope limejaa. Yeye anasema jua Kali.Labda kinondoni ya huko kijijini kwao
Ngoja nibebe ndoano
Aha poaUsilete ndoano, lete tenga au kikapu...yaani kambale wako wengi mno.