Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,589
- 3,639
Huku kwetu kuna Wazee wameizuia sasa tunapata Jua la wastani...
Sipo karibu na eneo hilo kwa sasa,sijafahamuNasikia daraja la Kiluvya limekatika, ni kweli?
Huku mabibo mvua kama kawa.
Sio mimi mkuu bali nilinukuu tu'alisikika mlevi mmoja hapo karibu na kwa alinacha akisema hvo'Mkuu kinondoni ipi uliyopo wewe, Niko close na mahakama ya kino Apa mvua haikatiki mzee.
haha Kama Ni mlevi mwambie aagize juice ya miwa Apo naja lipa.Sio mimi mkuu bali nilinukuu tu'alisikika mlevi mmoja hapo karibu na kwa alinacha akisema hvo'
Hahaha pamoja mkuuhaha Kama Ni mlevi mwambie aagize juice ya miwa Apo naja lipa.
Duu bt wengi wanapaita pwani mkuu, napafaham sana hapo madukani mpk karibu na kiluvya ANi Dsm mkuu ukitoka kituo cha madukani kuelekea maili moja kuna daraja ndio linatenganisha kati ya dsm na pwani
MAENEO YA WAPI??Hapa kwetu juzi ilnyesha siku nzima.
Hali ya mvua katika Jiji la Dar na mkoa wa Pwani toka jana jioni mvua inanyesha bila ya kukatika.
Vipi hali ya mvua hapo ulipo mdau wa JF?