King kilipa
Member
- Sep 23, 2011
- 11
- 0
Kama umeweza kumudu kujilipia mwaka wa kwanza, uwezo unao.
Mwaka wa pl wote msubr wanavyuo wa mwaka wa kwanza 2pate hyo mikopo af na nyie ndo muanze kuzungumza ya kwenu cz mtaanza ku2boa ina maana nyie hamuelew kuwa group kubwa sn li2lokosa mkopo mwaka huu au ndo mnataka kukoroga mambo?
Mzee wa pumba upo?Kama umeweza kumudu kujilipia mwaka wa kwanza, uwezo unao.
Mzee wa pumba upo?
kwani ana pakwenda?
sio kila anayeweza kujilipia mwaka wa kwanza ndo anauwezo wa kumudu gharama kwa mfan waweza kuweka shamba bondi / kuuza kwaajili ya karo
Mzee wa pumba upo?
Kama umeweza kumudu kujilipia mwaka wa kwanza, uwezo unao.
kama ulikuwa hauna uwezo ungeacha.
we paka leo naona umepashwa moto sana fu*ck , duu hatuhitaji mawazo yako ulidisco udom.
so kwa maana hiyo hakuna haja ya kuwa na bodi ya mkopo na nibora ifutwe imeshindwa kukithi mahitaji
we kweli umechanganyikiwa. Ivunjwe kisa imeshindwa kukukopesha!