King kilipa
Member
- Sep 23, 2011
- 11
- 0
Hivi hii bodi ya mikopo ambayo hudai imeishiwa fedha na inauwezo mdogo wa kifedha kuwakopesha wanavyuo pindi waanzapo vyuo, hivi huweza kuwalipia wanavyuo wa mwaka wa pili ambao walikosa mkopo mwaka wa kwanza au ndo huwatupia kisogo kwa kuto wasaidia mikopo miaka yote ? Nahitaji msaaada hapa.. . .. . Tafadhali