Vipi bodi ya mikopo na wanavyuo wa mwaka wa pili walio kosa mkopo mwaka wa kwanza. . . . .??

King kilipa

Member
Sep 23, 2011
11
0
Hivi hii bodi ya mikopo ambayo hudai imeishiwa fedha na inauwezo mdogo wa kifedha kuwakopesha wanavyuo pindi waanzapo vyuo, hivi huweza kuwalipia wanavyuo wa mwaka wa pili ambao walikosa mkopo mwaka wa kwanza au ndo huwatupia kisogo kwa kuto wasaidia mikopo miaka yote ? Nahitaji msaaada hapa.. . .. . Tafadhali
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
Kama umeweza kumudu kujilipia mwaka wa kwanza, uwezo unao.
 

Rajo

Member
Sep 26, 2011
21
1
Mwaka wa pl wote msubr wanavyuo wa mwaka wa kwanza 2pate hyo mikopo af na nyie ndo muanze kuzungumza ya kwenu cz mtaanza ku2boa ina maana nyie hamuelew kuwa group kubwa sn li2lokosa mkopo mwaka huu au ndo mnataka kukoroga mambo?
 

King kilipa

Member
Sep 23, 2011
11
0
Mwaka wa pl wote msubr wanavyuo wa mwaka wa kwanza 2pate hyo mikopo af na nyie ndo muanze kuzungumza ya kwenu cz mtaanza ku2boa ina maana nyie hamuelew kuwa group kubwa sn li2lokosa mkopo mwaka huu au ndo mnataka kukoroga mambo?

oyo jomba hata mimi ni first yr wa mwaka huu ndo maana nimeuliza kwan hukuona tangazo la tareh 12/10/2011 toka kwenye hiyo idara inayojiita bodi
 

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,019
1,760
Wenzenu hapa udsm wameanza kuacha chuo..inauma sana wajamen.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom