Vipi anakutesa? Tumia pesa!

Blaza kama vipi wewe tulia tu..fanya mengine...sio lazima ufanikiwe katika kila kitu maishani...!!
 
Kiukweli unaweza ukawa na mwanaume unampenda na ata huwazii pesa kutoka kwake ila akawa anakuletea jeuri..kwa style hii niliapa sipendi tena..ila pesa kwanza mapenzi baadae.!Good girl gone bad

Mmmhhh..maweeee. Yesu wangu.!!!
 

Dem akikupenda kakupenda tu...Kuna watu wanakula madem wakali mbayaaa na unakuta mtu hana hata 100 mfukoni. Its confusing at tyms hata mimi nashindwaga kuelewa inakua kua vp. On my side mi sio mtoaji sanaa hela kwa wanawake ila sumtyms najikuta tu nampa cz i feel like atakua anahitaji kwa mahitaji yake madogo madogo. uki date madem wa uchwara its very possible ukapigwa vizinga daily (i hate such women).
 
Binafsi naamini katika kufanya yako na kujitengeneza namna kufanya mambo. Wewe unatafuta role model kwa mambo ya mapenzi!!! Umemuona mwenzio kwa nje anabadili wanawake wazuri ukaona thats what I want too.

Kwanza ulipaswa kufahamu kuwa maisha ya mtu ni siri yake. Sio kila mtu anayecheka ana furaha, mioyo ya watu inaficha vitu vingi. Ungemuuliza anatafuta nini kwa wanawake? Huwezi jua, labda mwenzio anachotaka ni wanawake wa kupiga nao bakora ili washamba washangae.

Mwanamke atakayekupenda kwa sababu umempa Rav 4 Kesho akipewa Range Rover ndio umekwisha tena. Take your time na ukimpata umtunze sio hata kadi ya birthday humnunulii.
 

Muda pekee wa kuangalia mambo na kujifunza ni wakati wa ujana ndiyo maana sikuona shida ya mie kutaka kujua kinachopelekea jamaa kufanya alichokuwa akikifanya.

Vile vile mapenzi ya sasa yako sambamba na pesa havitengamani.
 

Eti! Umesema anakula madem wakali hana hata 100 ? mmmhhh labda wakali sio kwa maana ya wazuri.
 
Kiukweli unaweza ukawa na mwanaume unampenda na ata huwazii pesa kutoka kwake ila akawa anakuletea jeuri..kwa style hii niliapa sipendi tena..ila pesa kwanza mapenzi baadae.!Good girl gone bad

Good girl gone bad,,,aiseee upendo umeupeleka wapi?
 
Asnam its long time buddy. Ulipotea saana. Welcome back

Hili zimwi ni nini lakini? maana hatulili tukalimaliza.
moyo ndo kila kitu,ukikuongoza kwenye pesa basi ukiona wallet mapenzi yanafufuka,ukikuongoza kwingine ndo hivyo tena....mapenzi hayana formula
 
Last edited by a moderator:

ukiona hivo ujue anafikishwa vizuri kunako 6x6 na huyo jamaa ,.... Hakuna kingine zaidi ya hicho ... Hakuna mapenzi hapo
 

Aha, kwa hiyo mapenzi na pesa ni kama suruali na mkanda?
 
Last edited by a moderator:
Hawatabiriki hawa viumbe, na ndio madhara ya kupenda usipopendwa kwa dhati ila unapendwa kwa sababu flan flan
 
kuna wale wa dizan ya sasa ivi anajifanya hataki pesa zako sometime ni kweli hakuombi ila nimegundua just being with u mwenye ela zako kwake ni security na its just a matter of time kabla hajaanza kukutoa mshiko tena ktk format sio ya kuomba direct kwa mfano anaweza anza ongelea anapenda kitu flan au zawadi flan etc ambacho ameshakupima una uwezo nacho meaning ungekua kapuku asingekuomba hence asingekua na wewe generally speaking you got to have money to get ladies the more money the more chance of getting them hata kama initially atajifanya mi staki pesa zako ni mapenz ya kweli tu nataka mbona kama ni mapenz ya kweli humpendi kapuku????
 
Kwa ulimwengu wa leo..vyote vinaenda...Mapenzi, pesa.....Maisha yamekuwa magumu sana...Ukiwa una do huku huna kitu mfukoni, hujui utakula nini, unadaiwa kodi, yaani hisia za mapenzi zinapotea kabisa....Unaweza do lakini usifikie kileleni...Ila ukiwa una do wkt ukiwa na uhakika wa kuishi mbona mambo mwake mwake...Utabinjuka hadi kuche style zote utaweka....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…