We unaamini piki kwa upande wako?
Haya yote yametoka wapi?
Munguana akivuliwa nguo huchutama, any way ngoja ni chutame.Njaa ya pesa wanayo
Ni kama wewe usivyo amini kwamba mapenzi ya siku hizi hayaendi bila pesa. Wakati ndiyo hali halisi
Mademu wa hivyo wapo wangapi? Acha stori za kahawa
Na simlizi za zali la mentali Kwanini usingetafuta wale wa kishua uliowasema hapo juu??
Mwanaume unatongozwa halafu unaishia kucheka cheka? Haukawi kusema wanang'ata kucha,kuvunja vijiti na kusugua mguu chini..
Popote ulipo jirani yangu miss neddy nakuhitaji hapa...
ooh asante sana,maisha yananivuruga vuruga ila tuko pamoja.
Mazingira ya maisha ya sasa yanatufanya wanadamu (si mwanamke wala mwanaume) kuona pesa ndo kila kitu na ndo ukweli japo mwanamke anataka maisha ya tayari kipo (bila ya yeye kuwa sehemu ya upatikanaji wa hiko) wanakataa ukweli huu na huu ndo unafiki wao.
hahahaha miss u my jirani mimi naamini pesa sio kila kitu mapenzi ya kweli yasioongozwa na pesa yapo ingawa wahusika ni moja ya kumi katika jamii mapenzi ni hisia wanaosema mapenzi ni pesa sometime waweza kuta ni tamaa zao binafsi
Sina mpenzi.
Me huwa siombi ela, ikitokea nina shida nitaomba marafiki but nakuwa nakusoma nikiona miezi sita unipi ela najimovezisha taratibu