Vipi anakutesa? Tumia pesa!

Vipi anakutesa? Tumia pesa!

Kiongozi kwa kweli haya mambo huwa hayatabiriki wewe bora uyaache yatakuumiza kichwa sababu unapokuwa mzungu wa roho na kugharamia sana matokeo yake pesa yako hiyo hiyo wanaenda pewa wanaume wenzio wewe unachukuliwa buzi tu, na ukiwa huna kitu ataenda nje pia sababu wewe huna mkwanja, basi ni majanga tu.

Omba itokee upate mwenye kuelewa maisha ambae mtaendana
 
Kiongozi kwa kweli haya mambo huwa hayatabiriki wewe bora uyaache yatakuumiza kichwa sababu unapokuwa mzungu wa roho na kugharamia sana matokeo yake pesa yako hiyo hiyo wanaenda pewa wanaume wenzio wewe unachukuliwa buzi tu, na ukiwa huna kitu ataenda nje pia sababu wewe huna mkwanja, basi ni majanga tu.

Omba itokee upate mwenye kuelewa maisha ambae mtaendana

Ha!ha!ha!ha! Kweli haya mapenzi ya sasa hivi lazima kufunga maombi kama ulivyosema.
 
Asnam its long time buddy. Ulipotea saana. Welcome back

Hili zimwi ni nini lakini? maana hatulili tukalimaliza.

ooh asante sana,maisha yananivuruga vuruga ila tuko pamoja.
 
Last edited by a moderator:
Kwa ulimwengu wa leo..vyote vinaenda...Mapenzi, pesa.....Maisha yamekuwa magumu sana...Ukiwa una do huku huna kitu mfukoni, hujui utakula nini, unadaiwa kodi, yaani hisia za mapenzi zinapotea kabisa....Unaweza do lakini usifikie kileleni...Ila ukiwa una do wkt ukiwa na uhakika wa kuishi mbona mambo mwake mwake...Utabinjuka hadi kuche style zote utaweka....

Teh!teh!teh hii nayo kali kweli.
 
ukiona hivo ujue anafikishwa vizuri kunako 6x6 na huyo jamaa ,.... Hakuna kingine zaidi ya hicho ... Hakuna mapenzi hapo

Inawezekana ila si kweli kwa namna moja au nyingine. Kwan mara ya kwanza kabla hajaanza kumpiga nao huyo dem alimpata pata vp mpaka akampa uchi wake ?? Lazima atakua alitoa mpunga tu....we unafkiri utamfunua dem mkali uchi wake bure bure tu ??? Acha balaaa !! Lol
 
ni kwel pesa haiwez kununua penz la dhat,na pesa cku zote haitoshelez ndio maana hata matajir hawalal

Acha kujiongopea mkuu mapenzi bila pesa hayapo karne ya leo njaa kali!!..
 
Eti! Umesema anakula madem wakali hana hata 100 ? mmmhhh labda wakali sio kwa maana ya wazuri.

Mkuu asa hutaki kuamini au ?? Ivi unafkiri kila mtu ana gundu kama ww ?? Utaishia kupiga nyeto tu mdg wang.... Ivi unafkiri kila mwanamke ana njaa ya pesa ??? Utakua umeishi sana uchwara ndio maana kwako ni kitu unaona hakiwezekani....kuna watoto wa kishua mjini hapa hebu tembea uone, mtoto unakuta anatembelea range rover sports mshua wake ana gharamia wese kila kitu, kila siku dem anabadili magari kwao ma shopping na outings za maana. Unataka kuniambia dem kama huyo ana shida na vihela vyako vya kuhonga chips yai ??? Nilishawahi kuwa na dem wa type hyo na sikuwahi kumpa hata tsh 100 yangu mpka nikaanza kuona noma. Usibishe vitu ambavyo huvijui au hujawahi kuviona.

Istoshe kuna madem wa type hyo wana kila kitu wao wanachotaka ni true love tu kutoka kwa mwanamme.... Unakuta dem anakutongoza we mwanaume kabsa, kibaba unaishia kucheka cheka tu.
 
Mkuu asa hutaki kuamini au ?? Ivi unafkiri kila mtu ana gundu kama ww ?? Utaishia kupiga nyeto tu mdg wang....
Haya yote yametoka wapi?
Munguana akivuliwa nguo huchutama, any way ngoja ni chutame.
Ivi unafkiri kila mwanamke ana njaa ya pesa ??? Utakua umeishi sana uchwara ndio maana kwako ni kitu unaona hakiwezekani..
Njaa ya pesa wanayo
Ni kama wewe usivyo amini kwamba mapenzi ya siku hizi hayaendi bila pesa. Wakati ndiyo hali halisi
kuna watoto wa kishua mjini hapa hebu tembea uone, mtoto unakuta anatembelea range rover sports mshua wake ana gharamia wese kila kitu, kila siku dem anabadili magari kwao ma shopping na outings za maana. Unataka kuniambia dem kama huyo ana shida na vihela vyako vya kuhonga chips yai ???
Mademu wa hivyo wapo wangapi? Acha stori za kahawa
Na simlizi za zali la mentali
Nilishawahi kuwa na dem wa type hyo na sikuwahi kumpa hata tsh 100 yangu mpka nikaanza kuona noma. Usibishe vitu ambavyo huvijui au hujawahi kuviona.
Kwanini usingetafuta wale wa kishua uliowasema hapo juu??
Istoshe kuna madem wa type hyo wana kila kitu wao wanachotaka ni true love tu kutoka kwa mwanamme.... Unakuta dem anakutongoza we mwanaume kabsa, kibaba unaishia kucheka cheka tu.
Mwanaume unatongozwa halafu unaishia kucheka cheka? Haukawi kusema wanang'ata kucha,kuvunja vijiti na kusugua mguu chini..
 
We differ....
baby lazma nimpe zawadi zawadi mashati viatu n.k
mara moja moja namuomba tutoke nalipa bill
pesa inaongeza furaha kwenye mapenzi
tatizo watu wanadhani ukisema pesa basi uwe nazo kama bakhresa au baba wawili wa Ipp....

Kuna kajamaa hapa ni kapiga debe kanakutaka .....

Uko tayari?
 
Popote ulipo jirani yangu miss neddy nakuhitaji hapa...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom