Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
moyo ndo kila kitu,ukikuongoza kwenye pesa basi ukiona wallet mapenzi yanafufuka,ukikuongoza kwingine ndo hivyo tena....mapenzi hayana formula
Moyo wako unatamani pesa
moyo ndo kila kitu,ukikuongoza kwenye pesa basi ukiona wallet mapenzi yanafufuka,ukikuongoza kwingine ndo hivyo tena....mapenzi hayana formula
^^
Leo watakana hawapendi pesa, badili mada upondee pesa uone wanavyoshabikia pesa,
Type of hypocricy!
^^
Unacheka kisha unanipa pole
Unamajungu wewe mtoto!!!
Nilipata presha ya kuteleza.
Wa humu jf ndiyo..... mmmmmhhhhh!!!!!!! Nitakuja na kisa chao kesho kutwa.
usipende kucream mambo
CC: Heaven on Earth .............!!
^^
Heri kucream kuliko kuwa kigeugeu, leo hili kesho lile.
^^
Kuna ka dem kanaitwa Heaven on Earth ni kabishi kuliko!
Kuna ka dem kanaitwa Heaven on Earth ni kabishi kuliko!
^^
Nimecrame nini?
^^
Mie mzima wa afya za masiku?
kua kila mwanamke hapa jf anapenda pesa
Mbona unaishi kwa majugu sana we mtoto.
Ulitaka nife ujekula nyama au uridhi ipad yangu, imekula kwako!