Nilitaka ufe nije kuchangisha rambirambi... si kama siredi ilivosimamisha pesa mbele!!!!
Ipad sijui kuitumia... mie ni simens ya toch tu.... so ningedili na ela...
Pesa ni muhimu itahusika direct n indirect way
Mkuu Phlagiey tambua bila pesa kuna mambo yatakubana kuonyesha upendo wako kwa umpendae
Mfano kumtoa out...kumjali pale alipo na shida...kupiga simu unatumia vocha ...vizawadi nk
Pamoja na pesa kutawala ni kama pilau bila kachumari hainogi lazima uweke matawi ya upendo, kumheshimu gal wako, kujituma as man, kuwa decision maker, know ur responsibility
Most of women wanakwenda na tukio mda akitaka pesa apate...mda akitaka upendo apate na sio vice versa yake
Kiukweli unaweza ukawa na mwanaume unampenda na ata huwazii pesa kutoka kwake ila akawa anakuletea jeuri..kwa style hii niliapa sipendi tena..ila pesa kwanza mapenzi baadae.!Good girl gone bad