Jemima Jackson
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 776
- 926
Vipengele vya Katiba vinavyompa JEURI Rais wa nchi. Ibara 46(1) inayompa KINGA ya kutoshtakiwa kwa kosa la JINAI, ibara 41(7) inayokataza matokeo ya kura za Uraia yasichunguzwe, hata na mahakama & ibara 74(12) inayokataza Tume ya Uchaguzi (NEC) kufikishwa mahakamani.
Kinachofanyika ni kwamba, Rais anatoa MAAGIZO kwa NEC na wasimamizi wa Uchaguzi WAMPENDELEE yeye na chama chake, NEC itatekeleza AGIZO. Ukitaka kumuadhibu Rais huwezi, ibara 46(1) inamkinga, humgusi kabisa! Ukitaka kuiadhibu NEC, huwezi, ibara 74(12) inaipa ULINZI, NEC haigusiki. Ukitaka kwenda mahakamani KUPINGA matokeo kwamba Rais ameiba uchaguzi, pia huwezi, ib 41(7) INAKATAZA – yaani matokeo yakoshatangazwa ngoma imeisha, hata kama una USHAHIDI umeshinda wewe.
Yaani, NEC inaweza panda juu ya mlima na kumtanga mtu ameshinda Urais, basi tunasubiri tena miaka 5 mingine.
Halafu kuna WAHUNI wanasema Katiba haina shida yoyote ile!