Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 9,468
- 8,276
Ndio....Eti haiwez leta ugali daah Hawa jamaa Mungu anawaona![]()
Sasa katiba inalima ?!!!
Kilimo kilianza kabla ya uhuru wa nchi hii....
Usiwe mjinga wa kukariri

Ndio....Eti haiwez leta ugali daah Hawa jamaa Mungu anawaona![]()

Mimi ni mzee MwinyiKikweteSamia....Kwa hiyo wewe ni Mzee Mwinyi, Kikwete au samia?
Maana hao ndo walitakiwa waseme hayo unayoyasema.
Hii ni Katiba ya CCM. Na ilitengenezwa kwa ajili ya kuilinda CCM na watu wake. Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hii Katiba ya 1977 ina manufaa yoyote yale kwa Taifa la Tanzania.Vipengele vya Katiba vinavyompa JEURI Rais wa nchi. Ibara 46(1) inayompa KINGA ya kutoshtakiwa kwa kosa la JINAI, ibara 41(7) inayokataza matokeo ya kura za Uraia yasichunguzwe, hata na mahakama & ibara 74(12) inayokataza Tume ya Uchaguzi (NEC) kufikishwa mahakamani.
Kinachofanyika ni kwamba, Rais anatoa MAAGIZO kwa NEC na wasimamizi wa Uchaguzi WAMPENDELEE yeye na chama chake, NEC itatekeleza AGIZO. Ukitaka kumuadhibu Rais huwezi, ibara 46(1) inamkinga, humgusi kabisa! Ukitaka kuiadhibu NEC, huwezi, ibara 74(12) inaipa ULINZI, NEC haigusiki. Ukitaka kwenda mahakamani KUPINGA matokeo kwamba Rais ameiba uchaguzi, pia huwezi, ib 41(7) INAKATAZA – yaani matokeo yakoshatangazwa ngoma imeisha, hata kama una USHAHIDI umeshinda wewe.
Yaani, NEC inaweza panda juu ya mlima na kumtanga mtu ameshinda Urais, basi tunasubiri tena miaka 5 mingine.
Halafu kuna WAHUNI wanasema Katiba haina shida yoyote ile!
Hivi mnaona Samia ni mjinga sana kiasi avifute hivi vifungu na hapo hapo aingie kuomba kura? Je, ungekuwa wewe ni Rais ungekubali kuvifuta ili ubamizwe?Vipengele vya Katiba vinavyompa JEURI Rais wa nchi. Ibara 46(1) inayompa KINGA ya kutoshtakiwa kwa kosa la JINAI, ibara 41(7) inayokataza matokeo ya kura za Uraia yasichunguzwe, hata na mahakama & ibara 74(12) inayokataza Tume ya Uchaguzi (NEC) kufikishwa mahakamani.
Kinachofanyika ni kwamba, Rais anatoa MAAGIZO kwa NEC na wasimamizi wa Uchaguzi WAMPENDELEE yeye na chama chake, NEC itatekeleza AGIZO. Ukitaka kumuadhibu Rais huwezi, ibara 46(1) inamkinga, humgusi kabisa! Ukitaka kuiadhibu NEC, huwezi, ibara 74(12) inaipa ULINZI, NEC haigusiki. Ukitaka kwenda mahakamani KUPINGA matokeo kwamba Rais ameiba uchaguzi, pia huwezi, ib 41(7) INAKATAZA – yaani matokeo yakoshatangazwa ngoma imeisha, hata kama una USHAHIDI umeshinda wewe.
Yaani, NEC inaweza panda juu ya mlima na kumtanga mtu ameshinda Urais, basi tunasubiri tena miaka 5 mingine.
Halafu kuna WAHUNI wanasema Katiba haina shida yoyote ile!
Mchana kweupe!!! Hahahaha..... Nacheka kama mazuri!!Hapa kwa kweli raia tumebakwa!
Nyerere alikipenda chama chake ccm zaidi ya TanganyikaHii ni Katiba ya CCM. Na ilitengenezwa kwa ajili ya kuilinda CCM na watu wake. Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hii Katiba ya 1977 ina manufaa yoyote yale kwa Taifa la Tanzania.
Wewe ni hasara kwa taifa na ffamilia yakoKatiba haina shida.....
Hivyo ilivyo ndio usalama wetu
Kumshtaki Rais ni hatari sana....
Ona ilivyo Afrika ya Kusini.....ukiacha Mandela hakuna mwingine aliyepona.....
Futa "Kwa wenye akili..."; andika " Kwa Wanufaika.."Kwa wenye akili wanaelewa kinachoendelea ndio maan wanaipenda katiba iliyopo!!
Na muasisi wa katiba hii ni yule babaHapa kwa kweli raia tumebakwa!
Acha ujinga, sheria haiwezi kupingana na katibaSheria zinaenda kubadilishwa Ili kupinga matokeo Mahakamani ikiwemo hivyo vipengele
Na katika hili la Katiba na ile sera yake mbovu ya Ujamaa na Kujitegemea; atalaumiwa milele.Nyerere alikipenda chama chake ccm zaidi ya Tanganyika
😂😂😂Hivi mnaona Samia ni mjinga sana kiasi avifute hivi vifungu na hapo hapo aingie kuomba kura? Je, ungekuwa wewe ni Rais ungekubali kuvifuta ili ubamizwe?
Wewe ndio mjinga,kutakuwa na marekebisho ya sheria na Katiba.Acha ujinga, sheria haiwezi kupingana na katiba
When? Baada ya uchafuzi wa 2025?Wewe ndio mjinga,kutakuwa na marekebisho ya sheria na Katiba.
Naam, umeniita? Tatizo nini?
Rais sio nchi, huoni Marais wanatolewa madarakani huki SA na bado nchi Yao Iko stable? Huo ni ushahidi wa katiba Bora.Katiba haina shida.....
Hivyo ilivyo ndio usalama wetu
Kumshtaki Rais ni hatari sana....
Ona ilivyo Afrika ya Kusini.....ukiacha Mandela hakuna mwingine aliyepona.....
HakikaHapo ndo umasikini wa nchi hii unapoanzia na chimbuko la pambio, uchawa na nyimbo za kusifu,,kudumaa kwa kila kitu umejengwa hapo
Siamin hilo.. yaan CCM wajipige kitanzi? Waache kupiga madili? Ila MUNGU akiamua inawezekana kbs!!Sheria zinaenda kubadilishwa Ili kupinga matokeo Mahakamani ikiwemo hivyo vipengele
Unajizima data sio!!Naam, umeniita? Tatizo nini?
Sasa tueleze Nyerere alivyoitunga alikuwa ana mawazo yepi?Vipengele vya Katiba vinavyompa JEURI Rais wa nchi. Ibara 46(1) inayompa KINGA ya kutoshtakiwa kwa kosa la JINAI, ibara 41(7) inayokataza matokeo ya kura za Uraia yasichunguzwe, hata na mahakama & ibara 74(12) inayokataza Tume ya Uchaguzi (NEC) kufikishwa mahakamani.