ngoja nikushushie list,kama unawapenda,ila wasiliana na ma-fly-catcher wanapatikana sana pale boma street ili wakupe mbinu ya "kusafisha nyota"
1.via via
2.maasai camp
3.boogaloo
4.geti za national parks
5.maasai village,karibu na fire
6.meserani snake farm
7.tembelea mitaa ya usa river kuna wazungu wengi sana nyakati za jioni
8.airport
9.ofisi za immigration utawakuta
10.hospitali ya AAR-wako wengi sana wanaenda wakisumbuliwa na mafua na malaria
11.La Fiesta njiro
12.Nduruma pollo
13.swimming pools za mahotelini weekends
ila hakikisha na mfuko wako hauko vibaya,usikose USD 100,,,,in minimum....bei za vinywaji huko ni za kuumiza kichwa,usishangae kuuziwa bia ya TBL kwa 5000tsh