Mwene chungu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 916
- 752
Salute.
Natumai wnajf mu wazima wa afya!
Nimekuwa naona viongozi wengi sana wa ngazi mbalimbali wanakosea,na wanajua kabisa kuwa wamekosea lakini wanasubiri watumbuliwe!
Mimi niwashauri wawe na uwezo wa kuwajibika pale wanapoona wameshindwa kutekeleza mambo Fulani Fulani kiutendaji ili kuzipa mamlaka zinayohusika nafasi ya kuwateua,na kuwapa watu wenye uwezo wa kuzitendea haki nafasi hizo.
Na ninachojua kujiuzulu kunaonesha kukomaa kwa kiongozi(kuwajibika),kuliko kuachishwa kazi!..