Viongozi wetu na 'title' bandia

Chakunyuma

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
810
152
Nimekuwa ninajiuliza kwa muda mrefu ni sababu zipi zinazopelekea kiongozi kujipachika title la elimu la bandia? Hii ikanipelekea kufanya kautafiti kadogo kuona viongozi wa nchi zingine hali ipoje nilichogunduaa hali ipo tofauti sana.Nchi za wenzetu viongozi wao ni very honest kama hajasoma sana inaonekana kwenye CV yake na kama kasoma sana pia inaonekaana kwenye CV yakee na wala sio kwenye jina lake. Hii ni tofauti kubwa na hapa kwetu yaani hata kama kaipata kwa kuungaunga bado anaibandika kwenye jina lake na kila jina lake linapotajwa bila kuweka title yake yaa elimu anakasirika na kuchukia.
Hata kama Titles zao hazina tija kwa taifa lakini wanazishupalia.
Hebu tuone mifano michache hapa chini

Merkel huyu ana PHD lakini jina lake ninatamkwa Bi. Angela Merkel
She was educated in Templin and at the University of Leipzig, where she studied physics from 1973 to 1978. While a student, she participated in the reconstruction of the ruin of the Moritzbastei, a project students initiated to create their own club and recreation facility on campus. Such an initiative was unprecedented in the GDR of that period, and initially resisted by the University of Leipzig. However, with backing of the local leadership of the SED party, the project was allowed to proceed.[10] Merkel worked and studied at the Central Institute for Physical Chemistry of the Academy of Sciences in Berlin-Adlershof from 1978 to 1990. She learned to speak Russian fluently, and earned a statewide prize for her proficiency.[citation needed] After being awarded a doctorate (Dr. rer. nat.) for her thesis on quantum chemistry,[11] she worked as a researcher and published several papers.

Obama huyu ni profesa wa sheria lakini hajawahi kuitwa profesa kwenye jina lake.
From 1992 to 2004, Barack taught Constitutional law for 12 years, as Professor at the University of Chicago Law School. Simultaneously, he also worked as Attorney at Davis, Miner, Barnhill & Galland, a firm specializing in neighborhood economic development and civil rights litigation, and later as counsel from 1996 to 2004.


Goodluck Jonathan ane ana PHD lakini mara zote huitwa Gdluck
He was born in Otueke in Ogbia Local Government Area of the then Eastern Region, later Rivers State, now Bayelsa State to a family of canoe makers.[1][3] Jonathan holds a B.Sc. degree in Zoology in which he attained Second Class Honours, Upper Division. He also holds an M.Sc. degree in Hydrobiology and Fisheries biology, and a Ph.D. degree in Zoology from the University of Port Harcourt. After obtaining his degree, he worked as an education inspector, lecturer, and environmental-protection officer, until he decided to enter politics in 1998.


Gordon Brown ane ana PHD
He was accepted by the University of Edinburgh to study history at the same early age of sixteen. During an end-of-term rugby union match at his old school he received a kick to the head and suffered a retinal detachment. This left him blind in his left eye, despite treatment including several operations and weeks spent lying in a darkened room. Later at Edinburgh, while playing tennis, he noticed the same symptoms in his right eye. Brown underwent experimental surgery at Edinburgh Royal Infirmary and his right eye was saved.[28] Brown graduated from Edinburgh with First Class Honours MA in history in 1972, and stayed on to complete his PhD in history (which he gained ten years later in 1982), titled The Labour Party and Political Change in Scotland 1918–29.[29][30] In 1972, while still a student, Brown was elected Rector of the University of Edinburgh, the convener of the University Court.[31] He served as Rector until 1975, and also edited the document The Red Paper on Scotland.[3

Na viongozi wwengine ambao ninawaheshimu na wana vipaji vya uongozi hawakusoma sana lakini hawafichi kwenyee CV zao inaonesha mfano Luiz Inacio Lula Da Silva
 
Ona Zuma hafichi kitu.

Zuma was born in Nkandla, Zululand (now part of KwaZulu-Natal). His father was a policeman who died when Zuma was still a young boy, and his mother a domestic worker.
He received no formal schooling.
As a child, he was constantly moving between Zululand and the suburbs of Durban in the area of Umkhumbane (near Chesterville). He has two brothers, Michael and Joseph.
Sasa viongozi wetu wana nini kwa nini sio wa wazi na sio wakweli wanafanya hivyo kwa faida ya nani?
 
Ona Zuma hafichi kitu.

Zuma was born in Nkandla, Zululand (now part of KwaZulu-Natal). His father was a policeman who died when Zuma was still a young boy, and his mother a domestic worker.
He received no formal schooling.
As a child, he was constantly moving between Zululand and the suburbs of Durban in the area of Umkhumbane (near Chesterville). He has two brothers, Michael and Joseph.
Sasa viongozi wetu wana nini kwa nini sio wa wazi na sio wakweli wanafanya hivyo kwa faida ya nani?

Lack of confidence maybe ...
 
Kuna kiongozi wetu ana phd ya nuclear physics sijui inatusaidiaje hii kama taifa au kuwezesha kujimbwa ya uranium?
 
Raila Odinga huyu ni injinia ingekuwa bongo angekuwa anaitwa injinia Raila Odinga

he was born at Maseno Church Missionary Society Hospital, in Maseno, Kisumu District, Nyanza Province on January 7, 1945 to Oginga and Mary Juma Odinga. He went to Kisumu Union Primary School, Maranda Primary and High School where he stayed until 1962. He spent the next two years at the Herder Institut, a part of the philological faculty at the University of Leipzig in East Germany.[2]
He received a scholarship that in 1965 sent him to the Technical University, Magdeburg (now a part of Otto-von-Guericke University Magdeburg) in the GDR. In 1970, he graduated with a degree in Mechanical Engineering. While studying in East Berlin during the Cold War, as a Kenyan he was able to visit West Berlin through the Checkpoint Charlie. When visiting West Berlin, he used to buy goods not available in East Berlin and bring them to his friends in East Berlin.[3]

On returning to Kenya in 1970, he worked as a lecturer at the University of Nairobi. In 1971 he established the Standard Processing Equipment Construction & Erection Ltd (later renamed East African Spectre), a company manufacturing liquid petroleum gas cylinders
 
Ian Khamahuyu hapa kwetu angeitwa Pailoti Khama
He is an alumnus of Waterford Kamhlaba, a United World College in Mbabane, Swaziland.[2] He is a qualified pilot and attended Royal Military Academy Sandhurst,[3] where the British Army trains its officers.
 
Unyonge wa moyo , kutojiamini , kasumba , kukosa ufahamu.
Kwa mtu anaejiamini na kujitambua hasumbuliwi na vyeo / title za kidunia.
 
Mwalimu Julius K. Nyerere. Naamini huyu ndugu alikuwa na PHD (Dr). Sikusikia akiitwa Mwalimu, Dr. JK Nyerere.

RIP
 
Wanawazingua wapiga kura wao wa vijijini.

Tupo ndani ya mfumo wa usanii, kwa hiyo hizo title ni za kisanii zaidi. Nakumbuka wakati tunaelekea uchaguzi mkuu 2010 mgombea mmoja alitunukiwa PHD 2 za fasta fasta ili kukidhi mahitaji ya wakati huo.

Pia vyombo vya habari vikaelezwa kuitaja hiyo title yaani Dr, katika kila wanchoongelea kumhusu.

Ukiangalia hazina tija, Dr, professor everywhere lakini matendo hayaendani na title zenyewe. Shame on Them.
 
Back
Top Bottom