Viongozi washiriki mazishi ya mke wa mbunge wa jimbo la wawi , Hamad Rashid

Mimi nilifikiri anaishi Wawi na angemzika mke wake Wawi,naamini ana uwezo wa kusafirisha mwili wa marehemu kwa ndege hadi Wawi,udumu muungano

chezeya dar wewe,masikin watu wa kwao wameshindwa uzulia,wabunge karibia wote wanaishi dar,majimbon mwao uenda kuomba kura tu
 
Tanganyika pazuri asikuambie mtu

"waZanzibari tumejaa kila pembe ya dunia hii, tunaishi na kujitafutia riski zetu, ulizia nani waZnz utatujua, kuishi na kukaa Tanganyika sio kigezo ndio mtutawale, ZANZIBAR YENYE MAMLAKA KAMILI KWANZA!"
 
Marehemu kuzikwa Bongo ni sawa tu. au hamjui kuwa ni Mnyakyusa ???? therefore amezikwa nchini kwao Tanganyika
 
Marehemu kuzikwa Bongo ni sawa tu. au hamjui kuwa ni Mnyakyusa ???? therefore amezikwa nchini kwao Tanganyika

Ni MYAKYUSA pia alikuwa MKRISTO... Sasa SIJUI kwanini watu na UDINI; Ana NYUMBA nzuri kweli BARA; Sijua kwanini Wanalilia KUUVUNJA MUUNGANO...
 
"waZanzibari tumejaa kila pembe ya dunia hii, tunaishi na kujitafutia riski zetu, ulizia nani waZnz utatujua, kuishi na kukaa Tanganyika sio kigezo ndio mtutawale, ZANZIBAR YENYE MAMLAKA KAMILI KWANZA!"

MKEWE wa BARA na alikuwa MKRISTO; Sasa kwanini HUKO Zanzibar Mnachoma MOTO MAKANISA??
 
Mbona hamusemi kama WAZANZIBARI wana umoja na badala yake comment zenu zimejikita katika kuzungumzia Hamad Rashid ili kuchakachua uzi: mara Hamad Rashid anaishi Bara, mara Ubunge mtamu, mara mkewe mkiristo, mara kwanini Wazanzicri munataka kuvunja Muungano! Nyinyi 'wana musio na kwenu' (maana Tanganyika yenu mulimruhusu Nyerere akaiuwa) bhana muna tabu sana!
 
Kichwa cha habari mwanzo kilikua MAALIM SEIF AONGOZA MAZISHI YA MKE WA HAMAD RASHID na hata PICHA zinaendana na habari. Ha ha ha imekuaje tena kimechakachuliwa, munaogopa hata jina!
 
Mbona karibu viongozi wote wa Zanzibar wanaishi Dar!!!??? Kwa nini sasa wanapiga kelele za kujitenga?
 
Si Juzi tu Alishindwa KESI MAHAKAMANI kuhusu UBUNGE wake? Sasa Amefiwa na MKEWE... R.I.P Mama HAMAD!!!

Wake wa WABUNGE hawapelekwi INDIA??

**** Unaona NCHI yetu ilivyo diverse??? Mh. Hamad Mkewe alikuwa MKRISTO; Wa BARA...

Tena mnyakyu
 
Mke wa Hamadi ni Mkistru na mwenyewe wa Kyela!!huyu Mhe ameonyesha muungano wa kweli kabisa!!
 
Mke wa Hamad mkristo? Mbona mazishi yamefanyika kiislam ukisema aliwahi kuwa........... nitakuelewa lakini si kuwa ni mkristo
 
MKEWE wa BARA na alikuwa MKRISTO; Sasa kwanini HUKO Zanzibar Mnachoma MOTO MAKANISA??

"taabu kuamini ila makanisa yamechomwa na nyinyi wenyewe mkishirikiana na vibaraka wenu wa hapa, ili eti kutaka kuzima dai letu la msingi la mamlaka kamili ya Znz. hadi hii leo hamna mtu mmoja alieshutumiwa na kukamatwa kwa matukio yale!? makanisa yalianza mwanzo Znz kabla ya Tanganyika. na miaka yote tukiishi vizuri bila bughudha yoyote, wala humbagui yupi mkristu yupi muislam, fitna hizi zinaletwa miaka hii ya karibuni tu! Mkewe HR hakuwa mkristo, kwani sote tumeshuhudia kazikwa kiislamu. Ukweli utabakia pale pale, hamna ndoa baina ya muislam na wa dini nyengine yoyote, hadi wa dini nyengine asilimu na kuwa muislam"
 
Ni MYAKYUSA pia alikuwa MKRISTO... Sasa SIJUI kwanini watu na UDINI; Ana NYUMBA nzuri kweli BARA; Sijua kwanini Wanalilia KUUVUNJA MUUNGANO...

"kuwa na nyumba nzuri na mke huko Tanganyika ndio iwe sababu ya ku surrender kwa mamlaka yetu?! huh! hivi ndio mnavyopatikana sana huko Tanganyika, maslahi ya kibinafsi tu hamna chengine, na hata ndio yaliyotufikisha hapa kwetu kuwa hali hii tulio leo, ubinafsi wa viongozi hasa wa CCM! ndugu yangu waZanzibari tuna majumba mazuri na wake katika nchi mbalimbali dunia hii sio hapo Tanganyika tu! sisi hatuwezi kuvunja muungano wa kijamii na nyinyi taka msitake, ila huu wa kisiasa NAAM! tutauvunja na tutaishi kwa MKATABA! taka msitake!"
 
Back
Top Bottom