Viongozi Wamchunia Bush laivu...kwa nini?

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
[media]http://www.youtube.com/watch?v=k6Y_ncOVlDw&eurl=http://www.huffingtonpost.com/2008/11/20/world-leaders-dont-shake_n_145141.html[/media]
 
Wow wow wow wow....hold on here...wamemchunia au kawachunia? Coz I don't see him attempting or reaching out to shake anybody's hand....sasa kwa nini una wonder kama wamemchunia na sio kawachunia...?
 
Heheh mie naona hii kitu wameikuza tu Bush anaonekana kama hakuwa anajaribu kusalimiana.....
 
Hata miye nafikiria hivyo, bush mwenyewe ndo kawachunia. Asubuhi ya leo nilikuwa naangalia news, CNN wanadai Bush ndo kawachunia wenzie na wapambe kutoka nyumba nyeupe wanasema hakuwa na haja ya kuwasalimia tena kwa vile alishasalimiana nao alipokuwa akiwakaribisha white house.
 
Wewe utawaweza hawa Bush haters.....yaani kila kitu wa wanakikuza na kuki blow out of proportion.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom