Viongozi walewale waliopongeza machinga kupewa Uhuru ni haohao Wana bomoabomoa,Je, tutamkumbuka?

Kuna watu ndani ya mfumo wa Serikali na chama Tawala wameshaona wananchi si kitu. Leo wakisikia mtu mmoja kasema funga wanasifia, kesho wakisikia fungia wanaendelea kupiga makofi. Watu wa aina hii wameqafanya wananchi kukosa dira na mwelekeo kwa sababu leo wanawaambia wananchi kaeni hapa na msibughudhiwe,kesho wakiamka wanawaambia ondokeni hapa na wananchi wanatii...In longran watafika mahali watachoka kupokea hizi amri na hapo ndipo waonevu wanaolipwa salary na marupurupu watakapolazimika kuwaheshimu wananchi. Tunawayumbusha wananchi bila sababu, tujifunze kuomba utaratibu, tujifunze kusema no.

Leo hakuna meya au diwani au Mbunge anayewatetea wananchi, wote wamekaa kimya kwa sababu wanaamini amri zote za chama chao Tawala ni halali. Hakuna Mbunge Wala Diwani anayejitokeza kushirikiana na wananchi japo kutafuta maeneo mbadala. Wote Wapo busy kustarehe na familia zao wakisubiri msaada wa tume na Polisi 2025. Basi Kama mmeamua hivyo sawa
Umkumbuke ww na nani ?! Mimi hasirani simkumbi hata sekunde
 
Note
Ni walewale waliosema hakuna COVID 19 sasa wanahubir kuchanjwa. Dr.morel na nchemba wakawe mfano
 
Screenshot_20211024-211001_Gallery.jpg
 
Kuna watu ndani ya mfumo wa Serikali na chama Tawala wameshaona wananchi si kitu. Leo wakisikia mtu mmoja kasema funga wanasifia, kesho wakisikia fungia wanaendelea kupiga makofi. Watu wa aina hii wameqafanya wananchi kukosa dira na mwelekeo kwa sababu leo wanawaambia wananchi kaeni hapa na msibughudhiwe,kesho wakiamka wanawaambia ondokeni hapa na wananchi wanatii...In longran watafika mahali watachoka kupokea hizi amri na hapo ndipo waonevu wanaolipwa salary na marupurupu watakapolazimika kuwaheshimu wananchi. Tunawayumbusha wananchi bila sababu, tujifunze kuomba utaratibu, tujifunze kusema no.

Leo hakuna meya au diwani au Mbunge anayewatetea wananchi, wote wamekaa kimya kwa sababu wanaamini amri zote za chama chao Tawala ni halali. Hakuna Mbunge Wala Diwani anayejitokeza kushirikiana na wananchi japo kutafuta maeneo mbadala. Wote Wapo busy kustarehe na familia zao wakisubiri msaada wa tume na Polisi 2025. Basi Kama mmeamua hivyo sawa
Kumkumbuka nani?
 
Wananchi wenyewe hawajielewi. Iwapo wananchi wangekuwa wanajitambua hawa viongozi wangekuwa wanafuata kile ambacho wananchi wanahitaji . Kwasababu hawa wananchi hawajielewi wacha wapelekwe vile akili yao inavyopenda
Wananchi wengi ni masikini na tatizo linaanzia hapo ndugu. Na masikini hawana sauti moja mana ni rahisi kuwanunua baadhi yao na hence kuwasaliti wenzao. Umeyaona wakati wa mwendazake wapinzani wakinunuliwa ili waunge mkono juhudi.
 
Wakati Magufuli anasema wanachinga wafanye biashara kokote, mbona hakusema haya usemayo, au ni mambo ya bendera fuata upepo?
Kwa iyo Miji yetu inayojengwa kwa gharama kubwa unaona sawa iharibiwe kwa watu kujenga vibanda hovyo popote watakapo? Hata barabarani???

Hivi unajua mmachinga halipi kodi?? Kwa iyo unaona sawa kwa mmachinga kujiamulia atakavyo kuharibu utaratibu na miji yetu huku halipi kodi???

Watu wengine mnajionaga mna akili kumbe ni wajinga wa mwisho hapa duniani!

Kuna kosa gani kwa mmachinga kupangwa vizuri?
 
Back
Top Bottom