Viongozi wakuu wa UKAWA watazungumza na waandishi wa habari jioni hii Colosseum Hotel

kwa uthabiti wa mtiririko huu tutakumbuka tu, naamini tulisahaulishwa yote hayo na thumni za watangaza nia. mungu ajaalie kabla ya tarehe 25 october tuwe tumekumbuka na kama ni kusahau basi tuanze mwezi november.
 
Hivi hawa watu si wapo ili kuwa-convince watanzania ili waweze kuwaongoza ? Au wakichukua nchi wataongoza baadhi ya watu na sio watanzania wote ? Au hizi habari ni kwa ajili ya nani na nani hausiki.. ?

Unapokuwa Chama cha Siasa na upo tayari kuongoza watu inabidi usiwatenge sababu hata adui zako bado ni Watanzania

Sawa.
Ila jamaa hapo juu analalamika kupotezewa muda kusubiri nani atatangazwa kugombea urais.
Nimemwambia hajalazimishwa kushinda kuzisubiri hizi habari, aendelee na mambo yake akitangazwa atasikia tu kwa namna yeyote ile.
 
Vipi ukauwa mmevurugana?

1436894998504.jpg
Wachawi wameshindwa na wamelegea hizi habari twiter ITV hazina ukweli bado mkutano unaendelea
 
umimi..
y not me ?
ndicho kinachowatesa UKAWA.
hakuna umoja kuna unafiki.
 
Back
Top Bottom