Eberi M. Manya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 743
- 280
Hata CCM ealijifungia vivyo hivyo mkasubiri sana. So ni lazima msubiri .
MUSSA ALLAN umezinduka? Naona baada ya kukatwa ulipotea mkuu!Nyie mtabakia kutukana tu, Ila Rais hatatoka UKAWA wala CHADEMA kamwe!
MUSSA ALLAN umezinduka? Naona baada ya kukatwa ulipotea mkuu!
MUSSA ALLAN umezinduka? Naona baada ya kukatwa ulipotea mkuu!
Hiyo twit na ITV una uhakika?Aya mkuu hiyo hapo pakua. Wameshakata mmoja. Aya magamba ng'ooooo
Hivi hawa watu si wapo ili kuwa-convince watanzania ili waweze kuwaongoza ? Au wakichukua nchi wataongoza baadhi ya watu na sio watanzania wote ? Au hizi habari ni kwa ajili ya nani na nani hausiki.. ?
Unapokuwa Chama cha Siasa na upo tayari kuongoza watu inabidi usiwatenge sababu hata adui zako bado ni Watanzania
mkuu, sikupotea, nipo sana tu!
Ila roho yangu inaugua sana kwa kukatwa kwa lowassa. Msema kweli mpenzi wa mungu!
Yule mzee ni mwizi tatizoMkuu, Sikupotea, Nipo sana tu!
Ila Roho yangu inaugua sana kwa kukatwa kwa LOWASSA. Msema kweli mpenzi wa Mungu!
Vipi ukauwa mmevurugana?
we inakuhusu nini?Hiyo twit na ITV una uhakika?
Ni sala tu mkuu. Leo hatulali.
Mzee Tupatupa