Viongozi wabainika kuvuta bangi

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
520
Je ni hisia gani uliwahi kuzipata ulipovuta marijuana aka bange aka majani na je hii kitu inasaidia watu kufaulu darasani?! mwaka tuliomaliza form four zaidi ya nusu ya darasa tulikuwa tunavuta bange na tulifeli wengi mi nilikuwa nasoma page moja saa nzima kuna jamaa alikuwa akiona picha ya bob marley anazimia nasikia kuna viongozi tena mawaziri wanavuta je inawasaidia kuongoza!na wanamuziki pia kama Jide je kuna ukweli juu ya hili mbona mi imenishinda!!
 
Hv why mtua aliyekamatwa na bangi ana lipa faini elfu kumi na wa unga ananyimwa hata dhamana ina maana bangi si moja ya madawa ya kulevya!!!???
 
Mimi sijaelewa fresh kati ya madawa ya kulevya na mihadarati..maana hata kwinini pia ni dawa ya kulevya, then kuhusu bange na faini ya 10000 labda kwa vile inalimwa kila sehemu..
 
Kweli nyie ni wavuta bangi nimeamini kabisa!
 
Mimi sijaelewa fresh kati ya madawa ya kulevya na mihadarati..maana hata kwinini pia ni dawa ya kulevya, then kuhusu bange na faini ya 10000 labda kwa vile inalimwa kila sehemu..

Duh hii thread mmeanzisha baada ya kutoka huko?
 
Nikwa sababu viongozi serikalini wanavurunda, sasa tunawashtukia!!.. Yaweza kuwa wanatumia...
 
Naona stimu zimewaishia. Nendeni mkasokote tena tuendelee na mjadala!
 
bannge bange ndo iliyonifanya me nidate, mkuu bange sio kitu kinzuri kwenye jamii tunatakiwa tuipige vita kwa nguvu zote mkuu
 
ukivuta bange unakuwa kichwa vibaya sana! Na kwa kiongozi unakuwa unatoa maamuzi magumu tu!
 
Naam, mimi nadhani kwamba kufanya wawili kati yetu kwa sababu mimi moshi baadhi ya kila asubuhi baada ya kifungua kinywa inasaidia wazi kichwa.

Kwa nini tumbaku kuwa halali lakini si bangi? Slaa kwamba mahitaji ya kuweka katika orodha yake ya mambo ya kujadili kwa ajili ya 2015 tunaweza kukuza uchumi kwa kasi na kufanya tu hii! Anayejali nini mnafiki umoja taifa anadhani tu kuangalia Amsterdam kamili ya bangi nzuri Malawi huko ...
 
Bangi ihalalishwe itasaidia kukuza uchumi wa wengi badala ya sasa kukuza uchumi wa polisi tu wakulima wawezeshwe pawatila nao wataongeza pato la taifa!!
 
Tatizo lipo kwenye matumizi yake my uncle alikuwa hawezi enda shamba bila kupuliza,
 
Naam, mimi nadhani kwamba kufanya wawili kati yetu kwa sababu mimi moshi baadhi ya kila asubuhi baada ya kifungua kinywa inasaidia wazi kichwa.

Kwa nini tumbaku kuwa halali lakini si bangi? Slaa kwamba mahitaji ya kuweka katika orodha yake ya mambo ya kujadili kwa ajili ya 2015 tunaweza kukuza uchumi kwa kasi na kufanya tu hii! Anayejali nini mnafiki umoja taifa anadhani tu kuangalia Amsterdam kamili ya bangi nzuri Malawi huko ...

Haya ndo madhara halisi ya bange!
 
Hakika wewe umetoka kulipuliza big up sana tuandamane ihalalishwe bana hamuoni bei ya bia imepanda na tena banana ya pepsi ina visababu sabau na mjojo
 
Je ni hisia gani uliwahi kuzipata ulipovuta marijuana aka bange aka majani na je hii kitu inasaidia watu kufaulu darasani?! mwaka tuliomaliza form four zaidi ya nusu ya darasa tulikuwa tunavuta bange na tulifeli wengi mi nilikuwa nasoma page moja saa nzima kuna jamaa alikuwa akiona picha ya bob marley anazimia nasikia kuna viongozi tena mawaziri wanavuta je inawasaidia kuongoza!na wanamuziki pia kama Jide je kuna ukweli juu ya hili mbona mi imenishinda!!

hata baba Riz 1 anatumia sana hii kitu
 
bangi mbona nzuri saana it keep me moving day after day ihalalishwe tu huwezi zuia bangi afu ukaruhusu pombe
 
Back
Top Bottom