omarilyas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2007
- 2,130
- 145
Ndugu wanajamii,
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia hili neno la waasisi wetu. Kwa kweli naamini kwa wengi wetu maana halisi ya waasisi wetu bado ni suala tata. Kwa muono wangu ni kuwa kuna waasisi na viongozi waasisi. Kutambua waasisi ni zoezi kubwa mno lakini naamini kwa manufa ya kimfumo ni bora tukawatambua waasisi wa vyama vyetu vikuu vya ukombozi na viongozi wa serikali za mwanzo wakati tukiwa tumepata uhuru kwa upande wa Tanganyika na Mapinduzi kwa upande wa Zanzibar kama waasisi wa Taifa letu la Tanzania. hapa naambatanisha majina yao kama ambavyo nimeweza kuyakusanya.
nakaribisha mjadala...
Waasisi wa TANU:
Julius Nyerere, Geremano Pacha, Joseph Kimalando, Japhet Kirilo, C. O Milinga, Abubakar Ilanga, L.B Makaranga, Saadani Kandoro, Suleiman Kitwara, Kisunguta Gabara, Tewa Said Tewa, Dossa Aziz, Abdul Sykes, Patrick Kunambi, Joseph Kasela Bantu, Ally Sykes, John Rupia
Waasisi wa ASP
African Association: Abeid Karume, Mtoro Rehani, Ibrahim Saadala, Mtumwa Borafia, Bakari Jabu, Rajab Swedi, Saleh Juma, Abdula Kassim Hanga Shirazi Association: Thabit Kombo, Muhidin Ali Omar, Ali Ameir, Ameir Tajo, Ali Khamis, Mdungi Usi, Haji Khatibu, Othman Sharif, Ali Juma Seif, Mzee Salehe Mapete
Baraza la Kwanza la Mawaziri Tanganyika
Amir Jamal, Rashid Kawawa, Oscar Kambona, Paul Bomani, Abdallah Fundikira, George Kahama, Bhoke Mnanka, Job Lusinde, E Brayson
Baraza la Mapinduzi Zanzibar
Seif Bakari, Khamisi Daruweshi, Abdulla Said Natepe, Edington Kisasi, Hassan Nassor Moyo, Hasnu Makame, Ahmed Ameir, Abdulaziz Twala, Idris Abdulwakil, Khamis Hemed, Yussuf Himid, Pili Khamisi, Ali Mahfoudh, Abood Jumbe, Abdulrahman Babu, Said Issa Bavuai, Ramadhani Haji Faki, Abdulla Khamis Ameir, Ibrahim Makungu, Saleh Sadalla Akida, Ali Sultan Issa, Hafidh Suleiman, Mohamed Mfaume, Ibrahim Amani, Mohamed Abdula Kaujore, Rashid Abdula, Muhsin Bin Ali, Daud Mahmoud.
NB: Majina niliyoweka "bold" naamini ndio walio hai hadi leo hii. Kama kuna mapungufu ama makosa naomba samahani

VIONGOZI WAASISI WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR