jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
Ni masikitiko yangu makubwa kuona Viongozi wa wizara ya afya kutwa wakishinda kwenye media /mtandaoni.
Tabia hii inaabisha hadhi ya wizara na fani ya udaktari.ACHENI. Nendeni kwenye media mkiwa na Genuine Issue
Natambua Waziri wa Afya anapitia kipindi kigumu dhidi ya walio chini yake wanaostruggle kumuangusha lakini hii isiwe sababu ya kuwa desparate na kuanza kuhaha kwenye media. Tulia uitendee haki wizara kwa kuwa una uwezo huo (au umepigwa kipapai cha sumbawanga?)
Naibu waziri Molel Acha kujishindanisha na Waziri, yaani waziri akitoa tamko na wewe unatoa ...!!Ebo Uwaziri hautafutwi hivyo bana!!Stop making fake scandals and victimising Facility Incharges tena in the middle of the Pandemic...acha kuonea watu wanaopambana usiku na mchana ili upate political mileage.
So far mnatakiwa kuwa mmetuletea muswada wa bima ya afya kwa wote.
Mkurugenzi wa tiba sio kila jambo lako liende Insta kwani wateja wako wapo field namaanisha vituoni .
let your work prevail and not your image.
Bottom line hii wizara hebu tulizeni mshono mchape kazi kwa umoja na upendo.
#Mtanikumbuka kwa kuwaambia ukweli