Viongozi wa wilaya CHADEMA Singida wahamia CCM

Viongozi wa wilaya CHADEMA Singida wahamia CCM

jamani hata chadema wanamchezo wa kuwanunua wapinzani wa vyama vingine mf. Lwakatare cuf, Lema TLP, kasulumbayi cuf, arfi cuf, hiyo ndio dhambi mliyotenda na bado itaendelea kuwatafuna na bado kwa kuwa nyie mnawanunua hawaji kwa cdm kwa mapenzi bali kwa kuwa walipewa pesa
mwambie lipumba akajaribu kugombea iginga aone moto wake
 
Mbona wanamwogopa shibuda!?wamtimue na shibuda basi aliyekifananisha chama na mlenda
Chadema wakigundua we ni mamluki unatimuliwa, haina kuremba eti una cheo gani au we ni nani. Chadema sio mali ya mtu ni mali ya watanzania wazalendo chama hakiwezi kutikisika hata atoke nani kwa kuwa wafadhili wa chama ni wananchi wenyewe na wala sio Wafanyabiashara wa chache kama ilivyo kwa ccm. Hao jamaa wameona wajiondoe wenyewe kabla hawajaondelewa..kama bado kuna mamluki wengine wajiondoe lasivyo wakibainika.!
<br />
<br />
 
wamelipwa shillingi ngapi?inabidi siku nyingine ccm iwe inasema imenunu watu fulani kwa kiasi cha dau fulani kama kwenye timu za mpira za ulaya.hivi hela za ruzuku zinanunua wanachadema.shame on them(nape included).ndio maana vijana hatupendi magamba.
 
Huko ni kwao tu,walitoka kwa muda sasa wanarudi.kawaida tu.
 
Mwenyekiti CHADEMA wa Wilaya ya Iramba ndugu Emmanuel Edgar Ntundu na Mwenyekiti wa Chadema singida Mjini ndugu Nakamia John wameahamia CCM. wengine ni Ela Samson Dyelu mwenyekiti wa baraza la wanawake, ndugu Henri Stephene Kingu katibu mwenezi wa wilaya ya Iramba na mwenyekiti wa Tawi la Ruruma. Habari zaidi mtazipata baadae!
.


Sio hao tu, na wote waliobakia ambao wanajijua si wana mapinduzi wakweli waondoke kabla ya lililowakumba madiwani wa arusha halijawafika, tunataka chama chenye viongozi wanaojua uchungu na kuona shida na mateso tunayopata kupitia ccm.

MAPAMBANO YANAENDELEA
 
Kama kweli wamehama, namshukuru Mungu, wengi wao walihongwa na tajiri mmoja mbunge ambaye huwa hafiki bungeni mara kwa mara, wakatusumbua sana katika uchaguzi Mkuu uliopita. utararibu wa viongozi wa CCM kununua wanachama, viongozi, au bendera za Chadema, Singida Mjini ni biashara, na mbunge wa jimbo hillo anafadhili sana mambo hayo. Wengine mtaamini hata jinsi anavyohonga watumishi wa serikali. Bungeni haendi, anapokuja kuonana na watu badala ya kusikiliza hoja zao, matatizo yao, anagawa 50,000 kwa mikutano maalumu anaondoka. Mmojawapo ya waliokuwa wanahongwa ki urahisi ni hao waliohama. Hilo ni kosa lenye heri kwa CHADEMA

Isango
Hapo kwenye bold ni kweli(P Karugendo)i,umaskini na njaa ni tatizo katika kujenga demokrasia ya kweli hasa kwenye mifumo ambayo siasa inanunulika kama bidhaa
 
Njaa ndo tatizo, hovyo tuu! Waende!
<br />
<br />

Mwaka 2007 mwezi July Rais Kikwete aliutangaza mkoa wa Singida kuwa mkoa wa mwisho kwa maendeleo TZ.

Kwa tafsiri nyingine ni mkna masikini kuliko yote nchini. Kwa hiyo nalazimika kuamini kuwa ni njaa ndio iliyowapeleka huko kwa magamba.

Njaa, njaa, njaa!
Njaa mi mbaya sana. Njaa inaleta usaliti. Ila ole wao maana cku inakuja watalia na kusaga meno. Watajutia vijisent vya R.A walivyopokea.
 
Hao wengine waatakaochaguliwa itabidi wapelekwe Arusha ,Mbeya,au Mwanza , wakapate semina elekezi ya kukataa kufinyangwa fikra mkoa mzima wa Singida wa mwisho kwa pato la taifa lakini watu wake ufahamu uko chini kabisa wanatia aibu,inabidi Bavicha waende huko mwezi mzima somo watalielewa tuu
Acha upuuzi kwa kutukana watu wa singida,siasa ni uhuru wa mtu unavimba nini watu kuhamia ccm,?Chadema ni chama kizuri lakini kuitawala hii nchi count another twent years
 
Acha upuuzi kwa kutukana watu wa singida,siasa ni uhuru wa mtu unavimba nini watu kuhamia ccm,?Chadema ni chama kizuri lakini kuitawala hii nchi count another twent years
singida sio mnatukanwa ndivyo mlivyo.
mnavalishwaje picha za mwizi mmoja mkoa mzima?kama ni mbunge ni sgd mjini tu.
 
CCM(GAMBA) uwezo wa kufikiri haupo kabisa,nadhani uwezo wao kufikiri umefika ukomo nadhani kwa kufanya hivyo hapo wanatoa kupe ndani ya CHADEMA hilo c pigo wanachadema kuondokewa na msaliti mwazo wa mapambano ni suala la kushukuru sana waache wa uze utu wao. CCM wanatusadia kuujenga CDM kwa kutoondolea wasaliti.VIJANA WASOMI TUPO TUSIO DANGANYIKA KWA FEDHA WALA FULANA WALA VITISHO LA MSINGI KWETU CDM YENYE UCHUNGU NA NCHI INASHIKA HATAMU
 
jamani hata chadema wanamchezo wa kuwanunua wapinzani wa vyama vingine mf. Lwakatare cuf, Lema TLP, kasulumbayi cuf, arfi cuf, hiyo ndio dhambi mliyotenda na bado itaendelea kuwatafuna na bado kwa kuwa nyie mnawanunua hawaji kwa cdm kwa mapenzi bali kwa kuwa walipewa pesa
Mimi nadhani hujafanya utafiti wa kutosha kuhusiana na hilo kwani hao uliowataja kimsingi wao walikuja wenyewe kama mtu mwingine ambao hatuwezi kuwabagua wemona CDM kina dira wanona walioko C wapinzani Kwanini wachame? Nakuambia kwasasa hata GAMBA likifanikiwa kumnunua SLAA watu tupo,CDM c viongozi CDM ni watanzania Cha msingi hawawezi kuwanunua Watanzania wote.
 
Back
Top Bottom