Kwa taarifa yako SDG ni mkoa ambao pato lla mwanainchi linakuwa kwa haraka kuliko mikoa yote.Hao wengine waatakaochaguliwa itabidi wapelekwe Arusha ,Mbeya,au Mwanza , wakapate semina elekezi ya kukataa kufinyangwa fikra mkoa mzima wa Singida wa mwisho kwa pato la taifa lakini watu wake ufahamu uko chini kabisa wanatia aibu,inabidi Bavicha waende huko mwezi mzima somo watalielewa tuu
<br />Mimi nadhani hujafanya utafiti wa kutosha kuhusiana na hilo kwani hao uliowataja kimsingi wao walikuja wenyewe kama mtu mwingine ambao hatuwezi kuwabagua wemona CDM kina dira wanona walioko C wapinzani Kwanini wachame? Nakuambia kwasasa hata GAMBA likifanikiwa kumnunua SLAA watu tupo,CDM c viongozi CDM ni watanzania Cha msingi hawawezi kuwanunua Watanzania wote.
Takwimu ziko wazi nenda hata Singida penyewe ofisi ya mkuu wa mkoa kwa mkurugenzi ,Fedha Singida ni kati ya mikoa minne Tanzania yenye pato dogo sanaa lakini wanachi wake bado ni manamba wa CCM iliyowaletea umaskini wa kutupwaKwa taarifa yako SDG ni mkoa ambao pato lla mwanainchi linakuwa kwa haraka kuliko mikoa yote.
Takwimu unazochukua zinakupotosha kwani pato la mkoa kwa kila mwanainchi linapotosha,
Pato la mkoa wanalopata ni watu wachache tu na wengi wanaendelea kuwa mafukara.
Kila mwaka chakula cha njaa kinaenda Arusha lakini Arusha inaonyesha kuwa pato la kila mwanainchi liko juu.
Sdg iko juu kwa kila kitu. Mafuta ya alizeti, misitu, kuku wa kienyeji, nguvu kazi, mbizi, ng'ombe, mtama, asali , matunda ya kila iaina, madini, upope wa kuzalisha umeme, etc.
Nakuona wewe ni mlala hoi tu hufikii hata pato la mwanakijiji wa SDG.
<br />Mwenyekiti CHADEMA wa Wilaya ya Iramba ndugu Emmanuel Edgar Ntundu na Mwenyekiti wa Chadema singida Mjini ndugu Nakamia John wameahamia CCM. wengine ni Ela Samson Dyelu mwenyekiti wa baraza la wanawake, ndugu Henri Stephene Kingu katibu mwenezi wa wilaya ya Iramba na mwenyekiti wa Tawi la Ruruma. Habari zaidi mtazipata baadae!