Elections 2010 Viongozi wa UWT Arusha kitanzini.......kwa kuchakachua...........

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
Pamoja na ukweli gazeti la Uhuru siyo kipenzi cha wana-JF lakini ukweli unabaki palepale kuwa kwa vile lipo mtaani habari zake yapaswa kuripotiwa na kutathminiwa kwa manufaa ya wengi.............................

Uhuru la leo linaripoti ya kuwa mambo si shwari ndani ya UWT-Arusha baada ya tuhuma za kuchakachua kwa viti maalumu udiwani kushika moto na kuwagawa akina mama hao wa CCM........................au niseme wa Chama Cha Mafisadi?
 
Wakati tunaanzisha hizi forums hatukutegemea sasa watu wanaanza kuchakachua habari toka vyombo vingine vya habari kama magazeti na kuja kuweka hapa watu wajadili - huu ni zaidi ya uhuni
 
Acha habari zije maana si kila mwana jf anasoma magazeti especially uhuru. Keep on Rutashubanyuma
 
hata zikija lakini hatendi haki pale anapo haribu milki ya habari hizo kwa kuzileta kwa vichwa tofauti na tafsiri zake mwenyewe
 
tunaomba mtuletee habari za magazeti ambayo hayapo online lakini habari ifike kama ilivyotoka kwenye gazeti husika na mwandishi aonyesha ni kutoka katika gazeti fulani la siku fulani ndiyo mjadala unakuwa mzuri maana sisi ambao tupo nje ya nchi ni taabu kidogo kwa magazeti ambayo hatuwezi kuyasomo kama Mtanzania
habari ifike bila kuchakachuliwa kama walivyozoe wanaccm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom