Viongozi wa mwaka 2020

Viongozi wa mwaka 2020

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
484175_223386854473161_699700385_n.jpg
 
Wakitoka hapo na hasira wanaiba hela zote BoT
 
Kwa kukisia harakaharaka hilo ni darasa la kwanza.Sasa, mwaka 2020 watakuwa darasa la saba tu.Uongozi utatoka wapi hapo? Labda useme mwaka 2028 mwaka mmoja baada ya kumaliza form six.

Darasa la saba tayari watakua viongozi wa familia zao :A S-baby::A S-baby::A S-baby: sio wa taifa
 
Back
Top Bottom