Viongozi wa Kiislamu wana busara kuliko viongozi wa dini nyingine. Je, wanafundishwa nini kiimani?

Status
Not open for further replies.
Kwa nchi iliyojaa watu wavivu na wanaopenda short-cut bila kufanya kazi kweli Mwinyi na Kikwete ni lulu! Kwa nchi iliyojaa watu wanaotaka maofisini watu wageuze vijiwe vya soga na nchi ijae wala rushwa, wapiga dili na wazembe basi Mwinyi na Kikwete kwao ni almasi. Unachoota hakitatokea tena! Ulizoea kuishi kwa kulamba vidonda kama nzi, hayo maisha yamebaki historia!
 
World wide waprotestant (ushoga mwingi), waoslamu (ugaidi mwingi) wakatoliki (wakatili).
Kitizii wakatoliki (wakatili na washirikina wengi), waislamu (washirikina wengi), wasabato (wazinzi wengi) walutheri watulivu wengi!!
Kwa analysis yangu...
 
Umeaminishwa ivyo ila hujui tu watu wanavyojilimbikizia pesa. Siku akitoka ndyo mtajua tulivyopigwa baada ya kuanza kulipa madeni yatakayoachwa chungu nzima.

Ili neno ufisadi mtalisahau awamu huu maana ni mtu mmoja tu ndye anayeweza kupoint ufisadi. Pesa za nch znatumiwa kama pesa za mtu binafsu. Ukaguzi wa mapato na matumizi unachezewa watakavyo.

Mtaendelea kuaminishwa kuwa hatuibiwi sababu hakuna wa kumyoshea kidole. Akitoka ndyo mtajua kuwa mlichezewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni muislam naomba acha kutugawa mbona kuna wakristo viongozi wazuri tu wa kwanza Mwalimu Nyerere,Mzee Warioba na wengine wengi tu
 
World wide waprotestant (ushoga mwingi), waoslamu (ugaidi mwingi) wakatoliki (wakatili).
Kitizii wakatoliki (wakatili na washirikina wengi), waislamu (washirikina wengi), wasabato (wazinzi wengi) walutheri watulivu wengi!!
Kwa analysis yangu...
Mmeuingia mtego
 
Lengo lako hapo unahitaji udini nchini, endelea kuisoma namba mpaka ikuingie maana ulikua unalilia mabadiliko
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom