Viongozi wa Kiislamu wana busara kuliko viongozi wa dini nyingine. Je, wanafundishwa nini kiimani?

Status
Not open for further replies.

heradius12

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
11,403
2,000
Mimi ni Mkristu "pure". Nimezaliwa katika familia ya Kikiristu " pure". Ila sababu huwa sipendi unafiki naomba leo nipongeze viongozi wa serikali ya JWTZ ambao ni Waislamu toka enzi za Julius Kambarage Nyerere.

Nimejaribu kufatilia kwa umakini sana. Ukianzia ngazi ya urais, uwaziri na ubunge, inaonesha kama vile Tanzania imepata tunu ya viongozi waadilifu na wenye busara sana wanaotoka katika dini ya Kiislamu.

Naomba nitaje kwa mjina.

1. Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi
2. Rais mstaafu J. Kikwete
2. Makamu wa Rais awamu ya 5.
3. Waziri Mkuu, Majaliwa.
4. Hussein Mohamed Bashe (MB/ Wazir)
5. Prof. Mussa Hassad (CAG)

Hii list inaendelea

Kibinafsi nimekuwa nikivutiwa sana na aina ya uongozi wao, ukarimu, busara zao pamoja na nguvu zao za kujenga hoja.

Nimekuwa nikiamini kuwa waislamu ni dini yenye watu makatili, wauwaji na wenye roho mbaya sana. Ila hivi sasa naanza kushangaa ni mafunzo gani ya kiimani wanapewa mpaka wanakuwa watu wa namna hii katika uongozi.

Africa ukiangalia list ya Marais madictators, 70% ni Wakristu. Hivi Wakristu tunashida gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
30,151
2,000
Umesema ukweli, ukiangalia kila awamu ya Rais Mkristo nchi inakuwa katika mtanziko, nakubaliana nawe, angalia hata Zanzibar, hawana mafusadi wala wanafiki, wakisema hatukutaki wanamaanisha na wakisema wanakutaka wanamaanisha, njoo Bara, bakuli moja la pilau mtu anabadilika kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jecha ni mkristo bwashee?
 

Bana likasi

JF-Expert Member
Jan 7, 2020
4,758
2,000
Hata nchi ikiongozwa Na muislamu angalau kila mtu unufaika viongozi Wa kikristo ni wabinafsi hula peke yao waislamu hula Na wananchi. Mkristo akitawala ni lzm watu waisome namba,waislamu udeal Na maendeleo ya watu.Nchi zote za kiislamu zina unafuu wa maisha Kwa watu wake,90% ya madikteta ni wakristo
 

samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
7,522
2,000
Kuna sababu iko mahala fulani na kuna mtu juu hapo kaigusia kiaina, ukiitaja hiyo sababu hapa huu uzi unaweza kufungwa au kuvunja records za viewers na wachangiaji.

Siku Watanzania hasa Wakristo watakapoikubali hiyo sababu na kuweka huo upuuzi pembeni Tanzania itapiga hatua sana.
 

Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
34,823
2,000
Umesema ukweli, ukiangalia kila awamu ya Rais Mkristo nchi inakuwa katika mtanziko, nakubaliana nawe, angalia hata Zanzibar, hawana mafusadi wala wanafiki, wakisema hatukutaki wanamaanisha na wakisema wanakutaka wanamaanisha, njoo Bara, bakuli moja la pilau mtu anabadilika kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mh..
 
Status
Not open for further replies.
Top Bottom