MR.PRESIDENT
Member
- May 18, 2012
- 64
- 14
Kuna tafiti ndogo ambayonifanya inaonyesha kuwa viongozi wengi wa inchi wameoa wanawake wenye elimu ya kati kama vile certificate au diploma mfano mzuri ni Mr. president,mawaziri wakuu wote waliopita,maproffesor wengi na wakulugenzi wengi.Hili nimeliona hata kwenye QT ( Qualifying Test Makongo) utakuta mwanamke anakuja na VX au magari mazuri kusoma pale ukimwuliza anakwambia ni mke wa muheshimiwa fulani.Ni nini kinapelekea wasomi kama hawa kuwaamini sana wanawake wenye elimu ya chini katika maisha.Ni sababu gani zinawapelekea kutokupenda kuoa wanawake wenye degriii tujadili
karibuni
karibuni