Viongozi wa Dini wawarudisha UKAWA Bungeni

Viongozi wa Dini wawarudisha UKAWA Bungeni

Lakini alichokisema cybercrime kina chembe ya ukweli. Lissu angekuwa kwenye huo mkutano angeweza kuwatukana watumishi wa Mungu, kama ameweza kumtukana mkuu wa nchi hapo angeshindwa nini?
Kuna mtu anatukana kuliko kibajaji?
 
Uliyeweka hii picha hapa lazima una tatizo kichwani na moyoni. Mwanadamu yeyote mwenye akili timamu hawezi kudhihaki majonzi ya aliyepatwa na msiba. Hapa JF huenda tuna members ambao wanahitaji msaada wa matabibu.
Vijana wa lumumba hawajitambui
 
Kwa ujumla Tundu Lissu hatukani mtu, bali hana nafasi ya kumrembea mnafiki bila kujali nafasi yake katika jamii. Kama wewe ni mnafiki basi Tundu Lissu hakulazi na mkopo bali na cash tu.
Daaa umenikumbusha gwajima
 
Njaa mbaya kaka,

huwezi kuwa na kiburi mbele ya hela.

Alafu huo mgomo wao sijui umeleta faida gan? Walifikiri watabembelezwa waende ikulu tena kama kipindi cha JK?
Wabunge wa ukawa kwao kipau mbele chao ni kuhudumia watanzania kuliko wa lumumba
 
Mbwembwe kibaooo, mwishoe wanarejea kupitia mgongo wa Watumishi wa Mungu. Halafu agenda iliyowapeleka ni ya UKUTA, hii kuomba watumishi wa Mungu wawaombee warudi Bungeni imeibuliwa na nani kama siyo wao? Hawana maana kabisa.
Inakuuma sana wewe kiumbe wa mungu
 
Mbwembwe kibaooo, mwishoe wanarejea kupitia mgongo wa Watumishi wa Mungu. Halafu agenda iliyowapeleka ni ya UKUTA, hii kuomba watumishi wa Mungu wawaombee warudi Bungeni imeibuliwa na nani kama siyo wao? Hawana maana kabisa.
Kumbe nyinyi ndio mnaombea matatizo yadiishe hapa nchini mwetu sijui mnafaidika nini na hii migogoro? Inabidi mchungunzwe
 
kweli posho tamu.....ukawa wamekuwa wapole ..eti viongozi wa dini...wamewatengeneza wenywe ili wapate kiki ya kurudi bungeni
 
Lakini alichokisema cybercrime kina chembe ya ukweli. Lissu angekuwa kwenye huo mkutano angeweza kuwatukana watumishi wa Mungu, kama ameweza kumtukana mkuu wa nchi hapo angeshindwa nini?
Hivi mkuu wa nchi alitukanwa au aliambiwa ukweli tena kwa lengo la yeye kujirekebisha??

Naomba kufahamishwa Magufuli alitukanwaje.
 
Back
Top Bottom