Viongozi wa Dini wawarudisha UKAWA Bungeni

Njaa mbaya kaka,

huwezi kuwa na kiburi mbele ya hela.

Alafu huo mgomo wao sijui umeleta faida gan? Walifikiri watabembelezwa waende ikulu tena kama kipindi cha JK?

Ikulu kuna kipi special mpaka uone ni kama kwenda peponi? Kwa mtazamo wako wewe kwenda ikulu ya Tanzania ni muujiza. Je ingekuwa kwenda white house ya US ungesemaje?
 
Mbwembwe kibaooo, mwishoe wanarejea kupitia mgongo wa Watumishi wa Mungu. Halafu agenda iliyowapeleka ni ya UKUTA, hii kuomba watumishi wa Mungu wawaombee warudi Bungeni imeibuliwa na nani kama siyo wao? Hawana maana kabisa.
 
What is so special in US's White house? Penda chako acha kuwa mtumwa.
 
Wale wabunge waliofungiwa wengine mpaka mwakani nao wataruhisiwa ? ACT wazalendo ina mbunge mmoja kama sijakosea na moja ya wabunge walio ombwa kukaa chini kutafakari maslahi mapana ya nchi
 
Wanataka tu kumnasa Kiongozi Mkuu wa ACT-Wzalendo, Zitto siyo mjinga kihivyo.
 
What is so special in US's White house? Penda chako acha kuwa mtumwa.

Hicho chetu ndio huyo boya mwenzako anaona wapinzani hawana haki ya kwenda. Ndio namwambia ingekuwa na kiwango kama white house ya US ingekuwaje? Definately US state house is by far superior compared to our state house whether you like it or not.
 
Kumbe wapinzani wanacholilia ni kwenda Ikulu? Nimesikia Hashim Rungwe akiwaombea wakanywe chai, tusubiri , kiu yao inaweza kukatwa na rais, rais wetu ni msikivu.
 
Lakini alichokisema cybercrime kina chembe ya ukweli. Lissu angekuwa kwenye huo mkutano angeweza kuwatukana watumishi wa Mungu, kama ameweza kumtukana mkuu wa nchi hapo angeshindwa nini?
Usimsifu kwa mambo ya Kijinga wewe. Kumbuka ngoma ikilia sana hupasuka!
 
Mbwembwe kibaooo, mwishoe wanarejea kupitia mgongo wa Watumishi wa Mungu. Halafu agenda iliyowapeleka ni ya UKUTA, hii kuomba watumishi wa Mungu wawaombee warudi Bungeni imeibuliwa na nani kama siyo wao? Hawana maana kabisa.

Hiyo ndio demokrasia, na hicho walichokifanya kimeleta impact kwa namna moja au nyingine. Kwa taarifa yako hata ukimnunulia mtoto nguo asiyoipenda akiisusia hata ukimchapa ili aivae, lakini wewe mwenyewe ukiwa mahali utajua haipendi na siku nyingine hutambambikia choice zako.
 
Umesikiliza kilicho ongelewa kwenye hiyo video au umeamua tu kuachama tuvute harufu yako ya mdomo ?
Mkuu video nimeweka mimi au haujsoma nani kaiweka? Tangu lini UKAWA wakakaa na ACT wazalendo? Mbatia alitakiwa aseme wanakwenda kukaa vyama vitatu. Anajipendekeza nini kwa Zitto? Halafu nikuulize, wewe unapost kwa kutumia mdomo badala ya vidole vya mkono? Basi wewe una matatizo, pole mkuu.
 
Wameshaanza kulegea,usfanye mchezo kukosa posho dhidi ya madeni ya kutisha
Waliapa hawataingia bungeni hadi Tulia ajiuzulu
Tutegemee hayo pia kwa UKUTA
UKUTA Kwa sababu hakuna posho wanaweza kung'ang'ania hadi mwisho ngoja tusubiri tuone.
 
Kumbe wapinzani wanacholilia ni kwenda Ikulu? Nimesikia Hashim Rungwe akiwaombea wakanywe chai, tusubiri , kiu yao inaweza kukatwa na rais, rais wetu ni msikivu.

Hawalili kwenda ikulu kwa kupashobokea, bali nyie maboya wengine huku chini mnamuogopa jamaa mpaka akiwaambia hata mtekeleze yaliyo nje ya katiba na sheria mnafuata bila kuhoji. Hivyo watu wanaona wampandie huko huko wakampe ukweli wake. Ulitarajia wakakutane naye kariakoo?
 
Nahisi hawa Jamaa hawajielewi. yaani walikua hawajui umuhimu wao Bungeni?

Inamaana bila viongozi wa DINI kusema wasingerudi Bungeni?

Ha ha ha ha asee hawa ni wataalamu wa kubadili GIA ANGANI.

Wamejitafakari wakaona UJ..** a wao sasa wanarudi kinyumenyume
 
Lakini alichokisema cybercrime kina chembe ya ukweli. Lissu angekuwa kwenye huo mkutano angeweza kuwatukana watumishi wa Mungu, kama ameweza kumtukana mkuu wa nchi hapo angeshindwa nini?
Kwahiyo wewe unafananisha watumishi wa Mungu na mtumishi wa wananchi? Hao ni level moja kweli?
 
Hawalili kwenda ikulu kwa kupashobokea, bali nyie maboya wengine huku chini mnamuogopa jamaa mpaka akiwaambia hata mtekeleze yaliyo nje ya katiba na sheria mnafuata bila kuhoji. Hivyo watu wanaona wampandie huko huko wakampe ukweli wake. Ulitarajia wakakutane naye kariakoo?
Punguza hasira mkuu, mada hii haihitaji hasira, acha lugha za vijiweni kwenu tunajadili mambo ya msingi, kumpandia hukohuko ni lugha za huko kwenu, hapa ni jf, tumia akili siyo nguvu.
 
Back
Top Bottom