Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,316
Hata husipo rudi maana huna faida kwa taifaWacha niende kunywa viroba nikirudi nitakusoma vizuri zaidi.
Hata husipo rudi maana huna faida kwa taifaWacha niende kunywa viroba nikirudi nitakusoma vizuri zaidi.
Hiyo posho mbona imekuuma sana kwani anatoa mjomba wako?kweli posho tamu.....ukawa wamekuwa wapole ..eti viongozi wa dini...wamewatengeneza wenywe ili wapate kiki ya kurudi bungeni
Wenzako wanaenda kutoa huduma kwa wananchinjaa haina baunsa POSHO POSHO!!
Wenzako wanaenda kutoa huduma kwa wananchinjaa haina baunsa POSHO POSHO!!
Kwi kwi kwi kwi kwiMbona wewe hujipendi?
Nitarudi tu; wacha viroba vinikolee kwanza.Hata husipo rudi maana huna faida kwa taifa
haijaniuma mjomba...ila nimestukia danganya totoHiyo posho mbona imekuuma sana kwani anatoa mjomba wako?
Lissu kweli ni kiboko yenu maana akitajwa unakosa amani
Ndio akili ya hawa wanaotegemewa LumumbaUliyeweka hii picha hapa lazima una tatizo kichwani na moyoni. Mwanadamu yeyote mwenye akili timamu hawezi kudhihaki majonzi ya aliyepatwa na msiba. Hapa JF huenda tuna members ambao wanahitaji msaada wa matabibu.
hawa wapinzani wanajua kucheza kete zao ingawa sometimes wanawafanya mashabiki wao kama majuha vileDuh umeona mbali.
Lakini alichokisema cybercrime kina chembe ya ukweli. Lissu angekuwa kwenye huo mkutano angeweza kuwatukana watumishi wa Mungu, kama ameweza kumtukana mkuu wa nchi hapo angeshindwa nini?