TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,878
- 5,765
Lakini alichokisema cybercrime kina chembe ya ukweli. Lissu angekuwa kwenye huo mkutano angeweza kuwatukana watumishi wa Mungu, kama ameweza kumtukana mkuu wa nchi hapo angeshindwa nini?Utakuwa wewe ndio chizi
Hata mimi nina wsiwasi Lissu angeharibu.Lakini alichokisema cybercrime kina chembe ya ukweli. Lissu angekuwa kwenye huo mkutano angeweza kuwatukana watumishi wa Mungu, kama ameweza kumtukana mkuu wa nchi hapo angeshindwa nini?
Acha kumfananisha Watumishi Mungu na watumishi WA wanadamu.Lakini alichokisema cybercrime kina chembe ya ukweli. Lissu angekuwa kwenye huo mkutano angeweza kuwatukana watumishi wa Mungu, kama ameweza kumtukana mkuu wa nchi hapo angeshindwa nini?
Kawatuliza.Hahahahahahahahahaha safi sana Dr. Tulia
Una maana hao watumishi ni tofauti na watumishi Lissu? Nimekusoma.Acha kumfananisha Watumishi Mungu na watumishi WA wanadamu.
Ni hatari sana.Hata mimi nina wsiwasi Lissu angeharibu.
Amemtukana tusi gani huyo mkuu wa nchi? Na ni mkuu wa nchi gani huyo aliyetukanwa?Lakini alichokisema cybercrime kina chembe ya ukweli. Lissu angekuwa kwenye huo mkutano angeweza kuwatukana watumishi wa Mungu, kama ameweza kumtukana mkuu wa nchi hapo angeshindwa nini?
Uliyeweka hii picha hapa lazima una tatizo kichwani na moyoni. Mwanadamu yeyote mwenye akili timamu hawezi kudhihaki majonzi ya aliyepatwa na msiba. Hapa JF huenda tuna members ambao wanahitaji msaada wa matabibu.
Lakini alichokisema cybercrime kina chembe ya ukweli. Lissu angekuwa kwenye huo mkutano angeweza kuwatukana watumishi wa Mungu, kama ameweza kumtukana mkuu wa nchi hapo angeshindwa nini?
Muulize atakwambia.Amemtukana tusi gani huyo mkuu wa nchi? Na ni mkuu wa nchi gani huyo aliyetukanwa?
Ngoja tusuniri tuone nani harembi, Lisau au dolaKwa ujumla Tundu Lissu hatukani mtu, bali hana nafasi ya kumrembea mnafiki bila kujali nafasi yake katika jamii. Kama wewe ni mnafiki basi Tundu Lissu hakulazi na mkopo bali na cash tu.
Nimwulize huyo Rais aliyetukanwa?Muulize atakwambia.
Ngoja tusuniri tuone nani harembi, Lisau au dola
Unataka kumdanganya nani? Hiyo alilia siku ambayo alitangazwa kuwa mshindi kwenye kesi ya Ubunge siyo msibani. Ndiyo maana wengi wanamuona kichwani hanazo