TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,878
- 5,765
- Thread starter
- #61
Kuna sehemu Mbatia amenichekesha sana, nasema Naibu spika atumie Busara kuongoza Bunge na siyo sheria na kanuni za Bunge. Kama siyo kichekesho hiki ni nini?.Tulia ni kiboko. anasema haendeshi bunge kwa tamaduni anaendesha Bunge kwa mujibu wa katiba na kanuni za bunge.
jamaa wameziba midomo wameshindwa kuvumilia sasa wanaegemea kwa viongozi wa dini,
eti wametwambia turudi ha ha ha.