Viongozi wa Dini wawarudisha UKAWA Bungeni

Viongozi wa Dini wawarudisha UKAWA Bungeni

Kwahiyo wewe unafananisha watumishi wa Mungu na mtumishi wa wananchi? Hao ni level moja kweli?
Kwa hiyo Lissu anatukana ambao siyo watumishi wa Mungu tu au una maana gani? Haujui waliomchagua rais waliongozwa na Mungu kumpata kiongozi wao?
 
Ni wapi amesema watarejea bungeni, viongozi wa dini wametoa rai hvyo inaweza ikakataliwa au ikakubaliwa, sasa naona nyinyi msha conclude, kwa akili ya kawaida isingewezekana kuwakatalia palepale zaidi ya kuwapa Yale majibu aliyotamka Mbatia
 
Mkuu video nimeweka mimi au haujsoma nani kaiweka? Tangu lini UKAWA wakakaa na ACT wazalendo? Mbatia alitakiwa aseme wanakwenda kukaa vyama vitatu. Anajipendekeza nini kwa Zitto? Halafu nikuulize, wewe unapost kwa kutumia mdomo badala ya vidole vya mkono? Basi wewe una matatizo, pole mkuu.
Yaani ukiwa kwenye payroll ya Lumumba ni kazi kweli nenda tena kasikilize hiyo video usikie Mbatia kasema nini ? Mimi siongelei nani kaweka video ,nimetoa maoni kwa kilichosemwa ndani ya hiyo video ,hakuna anayejipendekeza ,Viongozi wa dini ndio waliotoa rai yao kwa vyama vinne vya upinzani ACT ikiwa ni moja ya vyama hivyo

Rai imetolewa na viongozi wa dini ,wewe unasema mbatia anajipendekeza kwa Zito ,
 
Nahisi hawa Jamaa hawajielewi. yaani walikua hawajui umuhimu wao Bungeni?

Inamaana bila viongozi wa DINI kusema wasingerudi Bungeni?

Ha ha ha ha asee hawa ni wataalamu wa kubadili GIA ANGANI.

Wamejitafakari wakaona UJ..** a wao sasa wanarudi kinyumenyume
Mkuu za chini ya Kapeti zinasema walikuwa wanataka kurudi siku nyingi lakini wakawa wanaona aibu. Leo hakukuwa na agenda ya Kurudi bungeni bali UKUTA, hiyo wameichomekea tu ili Viongozi wa dini wawasaidie.
 
Yaani ukiwa kwenye payroll ya Lumumba ni kazi kweli nenda tena kasikilize hiyo video usikie Mbatia kasema nini ? Mimi siongelei nani kaweka video ,nimetoa maoni kwa kilichosemwa ndani ya hiyo video ,hakuna anayejipendekeza ,Viongozi wa dini ndio waliotoa rai yao kwa vyama vinne vya upinzani ACT ikiwa ni moja ya vyama hivyo

Rai imetolewa na viongozi wa dini ,wewe unasema mbatia anajipendekeza kwa Zito ,
Video nimeqeka mimi, nenda wewe ukaisikilize vizuri uone Chama cha nne anachosema Mbatia ni kipi kama siyo ACT? Tangu lini UKAWA na ACT kama siyo kujigonga kwa ZITTO?
 
Ni wapi amesema watarejea bungeni, viongozi wa dini wametoa rai hvyo inaweza ikakataliwa au ikakubaliwa, sasa naona nyinyi msha conclude, kwa akili ya kawaida isingewezekana kuwakatalia palepale zaidi ya kuwapa Yale majibu aliyotamka Mbatia
Kwa taarifa yako wameomba kurudi sasa walikuwa wanaona aibu. Wasiporudi unikate kidole mkuu. Jina lako underdog, nitakukumbusha bunge limeanza. Unchezea posho wewe.
 
Lakini alichokisema cybercrime kina chembe ya ukweli. Lissu angekuwa kwenye huo mkutano angeweza kuwatukana watumishi wa Mungu, kama ameweza kumtukana mkuu wa nchi hapo angeshindwa nini?
Ni tusi gani Tundu Lissu alilomtykana huyo mkuu wako wa nchi?

Swissyou
 
Chili ni baba yako mzazi.....acha kumtusi kamanda wetu tundu Lissu
Hahaaa, tehe tehe tehe, mtatukana sana leo humu lakini ukweli ni kwamba Lissu hata Mbowe na Lowssa wameshamjua ndiyo maana wanamtumia kupayuka hovyo. Kamamda wa wapi, Lissu sidhani kama amepitia hata mafunzo ya KK security.
 
Punguza hasira mkuu, mada hii haihitaji hasira, acha lugha za vijiweni kwenu tunajadili mambo ya msingi, kumpandia hukohuko ni lugha za huko kwenu, hapa ni jf, tumia akili siyo nguvu.
Kwa taarifa yako mada yako umeileta kiumbea umbea na kama kejeli fulani hivi, hivyo nakupa majibu kwa namna ulivyoileta mada yako. Ukitaka upewe majibu unavyoyataka wewe ilete mada yako kinidhamu na sio kwa kejeli kama ulivyotaka. Na nikumegee, sasa hivi hao viongozi wa upinzani wakikutana na rais ni lazima wataelewana kwani jamaa yangu alinifundisha hata kama mtu humuwezi pigana naye atakuheshimu. Wewe baki na nidhamu yako ya woga na unafiki watu wanapigania sheria na katiba kufuatwa. Zaidi ya hapo rais anajitahidi ila wanaccm mlitaka kumtumia kwa faida ya chama chenu kilicholifikisha taifa hili hapa lilipo. Hivyo tunamuomba rais kama anataka support ya wananchi wote ajivue hilo koti la uchama, na atumikie wananchi wote huku akitoa haki kwa vyama vyote kutekeleza wajibu wao wa kisiasa, hapo nchi ataiendesha kwa raha na hiyo ndoto yake ya viwanda itapata baraka za wananchi wote.
 
Mkuu za chini ya Kapeti zinasema walikuwa wanataka kurudi siku nyingi lakini wakawa wanaona aibu. Leo hakukuwa na agenda ya Kurudi bungeni bali UKUTA, hiyo wameichomekea tu ili Viongozi wa dini wawasaidie.

Mkuu sikuwahi kujua kama Mh Mbatia niliekua namheshimu saaaana anaweza kuwa na Upeo mdogo kiasi hicho.

Ila bado naendelea kumheshimu maana sina namna namjua hii ni siasa.

Ila nawashukuru saaana viongozi wa DINI kwa kuwapuuuza kabisa.

UKUTA waanzishe wao mazungumzo waombe wao ivi kweli wanajielewa?

Kwanini kabla ya HOJA ya UKUTA hawakutafuta kwanza huo usuluhisi kwa kupitia viongozi wa DINI kama wanavyosema wanawaheshimu?
 
Posho ndio zimewarudisha bungeni Waaache kisingizio cha VIONGOZI wa DINI......What if tukisema ni wao ndio wamewafosi VIONGOZI wa DINI wajifanye WAMEWAOMBA UKAWA warudi BUNGENI???? HAPA WANATUMIA VIONGOZI WA DINI AS A DEFENCE MECHANISM YA WAO KURUDI BUNGENI.....hakuna lolote ni njaa zao ndio zinawarudisha BUNGENI.....HAWAJAWAI KUWA NA MSIMAMO HATA SIKU MOJA KWA KILA JAMBO WANALOAMUA.......kWA KASI HII YA JPM hata wabunge wa CCM walikuwa wanatosha......utasikia na kesho mbowe anajitokeza anasema VIONGOZI wa DINI wametuomba tusitishe UKUTA......
 
Posho ndio zimewarudisha bungeni Waaache kisingizio cha VIONGOZI wa DINI......What if tukisema ni wao ndio wamewafosi VIONGOZI wa DINI wajifanye WAMEWAOMBA UKAWA warudi BUNGENI???? HAPA WANATUMIA VIONGOZI WA DINI AS A DEFENCE MECHANISM YA WAO KURUDI BUNGENI.....hakuna lolote ni njaa zao ndio zinawarudisha BUNGENI.....HAWAJAWAI KUWA NA MSIMAMO HATA SIKU MOJA KWA KILA JAMBO WANALOAMUA.......kWA KASI HII YA JPM hata wabunge wa CCM walikuwa wanatosha......
Ni posho tu hakuna jingine.
 
Duh! Kweli wewe ni taahira
Anaesema ukweli kiboko ya maccm anaitwa chizi. Hii ndio Tanzania
Wanaoita wenzao machizi ni wale wanaolamba miguu kwa viongozi wa maccm angalau wapate kwenda choo. Kutwa nzima wako kwenye keybord kutetea maovu ya baadhi ya maccm na kuwarubuni watanzania ili wasipate wala kujua haki zao. Wanapenda maccm watawale milele ili wasikose kwenda choo ndio akina Lizibao hao
 
Mkuu sikuwahi kujua kama Mh Mbatia niliekua namheshimu saaaana anaweza kuwa na Upeo mdogo kiasi hicho.

Ila bado naendelea kumheshimu maana sina namna namjua hii ni siasa.

Ila nawashukuru saaana viongozi wa DINI kwa kuwapuuuza kabisa.

UKUTA waanzishe wao mazungumzo waombe wao ivi kweli wanajielewa?

Kwanini kabla ya HOJA ya UKUTA hawakutafuta kwanza huo usuluhisi kwa kupitia viongozi wa DINI kama wanavyosema wanawaheshimu?
Chezea kukosa posho wewe. Tulia mwenyewe haeleweki, yupo tayari kuwanyima posho hata miaka mitano. Wanasemaga, adui yako muombee njaa
 
Chezea kukosa posho wewe. Tulia mwenyewe haeleweki, yupo tayari kuwanyima posho hata miaka mitano. Wanasemaga, adui yako muombee njaa
Tulia ni kiboko. anasema haendeshi bunge kwa tamaduni anaendesha Bunge kwa mujibu wa katiba na kanuni za bunge.

jamaa wameziba midomo wameshindwa kuvumilia sasa wanaegemea kwa viongozi wa dini,

eti wametwambia turudi ha ha ha.
 
Back
Top Bottom