Viongozi wa CUF wamegoma kumnadi Lowassa?

Viongozi wa CUF wamegoma kumnadi Lowassa?

Unasema wamegoma cuf! kumnadi Lowasa,wanamnadi Duni,hivi kuna sehemu umeishaona bango limeandikwa chagua Duni?waelimishen kwamba bila Lowasa,hakuna Duni
 
Tumeshuhudia mara tuu baada ya uzinduzi wa kampeni za UKAWA viongozi na makada wa CDM na NCCR wakizunguka na lowassa mikoani kumnadi lowassa.

Hali ni tofauti kidogo kwa viongozi wa CUF ambao hawaonekani popote kumnadi p wassa.

Cuf wamegoma?

Mnyaa ni wa ccm?
 
acha kujitoa ufahamu ww hivi huwa humwoni duni haji akiwa na timu ya CUF wakimnadi LOWASSA?sijui umekula maharage ya wapi wewe?

.................anaonekana amelewa lewa .......amevaaa pampas huyooo.........saaa ya ukombozi na mabadiliko ni sasa...............
 
Tumeshuhudia mara tuu baada ya uzinduzi wa kampeni za UKAWA viongozi na makada wa CDM na NCCR wakizunguka na lowassa mikoani kumnadi lowassa.

Hali ni tofauti kidogo kwa viongozi wa CUF ambao hawaonekani popote kumnadi p wassa.

Cuf wamegoma?

Mboa tiimu ya mgombea mwenza wa CHADEMA CUF wamo kibao??? Umbea mbaya!
 
Mkuu kwani Duni Hajj ni cuf teh teh teh kuna kazi wallah

Kuishabikia CCM lazima uwe na akili za maiti ebu soma tena alichokiandika huyu englibertm hapa chini halafu ulinganishe na ulichokiandika

"Acha kujitoa ufahamu ww hivi huwa humwoni duni haji akiwa na timu ya CUF wakimnadi LOWASSA?sijui umekula maharage ya wapi wewe?"
 
Maalim Seif anaijua ccm ana uhakika ukawa haishindi ndio maana akamchagua comedian juma duni kuwa mgombea mwenza wa Lowasa..Hakutoa turufu zake kama mama Fereji, Jussa Ladhu, Said Bimani nk
 
Back
Top Bottom