Sasa huyu Duni anamnadi mkeo..!?
Naona we team nyumbu hata viongozi wako wa ukawa huwajui
J.Duni,Mnyaa na wengine wapo na mgombea mwenza wanamnadi Lowassa,fuatilia ziara ya mgombea mwenza.
Kumbe ni kamanda. Samahani sana kiongozi Mimi nilifikiri ni haya maccm yaani natamani hata kesho tupige kura niyachinje mkuu
kuibiwa nn?
Tumeshuhudia mara tuu baada ya uzinduzi wa kampeni za UKAWA viongozi na makada wa CDM na NCCR wakizunguka na lowassa mikoani kumnadi lowassa.
Hali ni tofauti kidogo kwa viongozi wa CUF ambao hawaonekani popote kumnadi p wassa.
Cuf wamegoma?
Mkuu kwani Duni Hajj ni cuf teh teh teh kuna kazi wallah
Halafu yule duni nikimwangalia nasisimka sana sijuwi kwanini.
Mtahangaika sana..... Viongozi wapo wanapiga kazi ile mbaya....
We utakukuwa umejifunguwa mtoto ambaye hujuwi baba yake ni yupi apo lumumba!We muumini wa Lowassa umepewa kibarua kikubwa sana cha kuubeba huo mzigo...mpaka itakapofika oct 26 utakuwa kama mzee wa miaka 80
Vijana wa ccm ni ma boga kweli kweli!
Juma duni haji ni wa chama gani? Au unaongea tu