Anna Deo
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 608
- 420
Ninachojua mimi cuf wanaandamana zaidi na mgombea mwenza. Ndio maana mgombea mwenza amejikita zaidi pwani ambapo cuf inanguvu. Isitoshe hata maalim seif alishawahi kuja hapa rufiji
Bila shaka mtoa mada,umeyasoma maelezo haya mazuri na yaliyoshiba