Viongozi wa CHADEMA wavamiwa hotelini na Green guard wa CCM-Igunga

Hao ni chadema wenyewe kwa wenyewe,wanataka ccm waonekane watu wa vurugu kama wao! To hell with chadema
 
kwa hiyo hao polis wanataka kuwageuzia kibao chadema kuwa ndo wamepiga risasi hewan?

hivi polisi wana akli kweli??

mfumo wa upatikanaji vyeo vya polisi, kuna harufu kali ya siasa za CCM.
Kwenye katiba mpya tuitakayo, JESHI LA POLISI lazima lisafishewe, siasa zisitawale chombo hicho.

mfano katibu mkuu wa wizara, waziri wana uwezo wa kukuvua cheo ulichonacho na kukutimua. lakini iwapo watu hawa wakiwa waajiliwa wa wananchi kwa maana wamechaguliwa au wamepewa nafasi hizo kwa sifa na kwa ushindani tena kutumikia kwa mda maalum, hawatakuwa na absolute power over polisi na vyombo vingine vya usalama na hivyo kuziba mianya ya udhaifu unaojitokeza bythen
 
Hao ni chadema wenyewe kwa wenyewe,wanataka ccm waonekane watu wa vurugu kama wao! To hell with chadema

Jibwa weeee. hata kusoma thread na mtiriko wa thread umeshindwa. Yaani CDM wakamatane na wapelekane POLISI?
narudia tena JIBWAA WWWWe
 
nadhani hawa majambazi wanaopora kwa siraha kila siku inaweza kuwa ni wabunge au
silaha zao kutumika, hii iko wazi sana
kama wabunge wa kike kushiriki katika tukio kama ili imewezekana basi kuna kazi ndani ya bunge
wabunge wasachiwe mikoba yao kabla ya kuingia bungeni, nina wasiwasi wanaingia nazo bungeni

SHERIA YA KUMILIKI SIHALA NCHI IANGALIWE UPYA,
hasa kwa maeneo ya wazi (public)
 
mkuu, nanyaro, hujaliweka hili saga vizuri.
Kama upo busy, basi tafuta muda uweke saga hili kwa mtiririko mzuri kama member mmoja alivyoshauri.

kama vipi wasiliana na GR au Crashwise umpe issue kwa simu then aiweke vizuri wkati wewe ukiendelea na mihangaiko mingine!!

one more thing: polisi walimsachi Waitara, walikuwa na search warrant?? au walivamia chumbani kwake na kupekua tu??
 
Green guard njaa,unaweza kukuta walipewa buku 2 tu hao

hilo liko wazi, cku zote bepari hataki uinuke bali uendelee kutekeleza maagizo yake, akikulipa vizuri utainuka utaona ni ushenzi utaanzisha ustarabu wako
 
mkuu, nanyaro, hujaliweka hili saga vizuri.
Kama upo busy, basi tafuta muda uweke saga hili kwa mtiririko mzuri kama member mmoja alivyoshauri.

kama vipi wasiliana na GR au Crashwise umpe issue kwa simu then aiweke vizuri wkati wewe ukiendelea na mihangaiko mingine!!

one more thing: polisi walimsachi Waitara, walikuwa na search warrant?? au walivamia chumbani kwake na kupekua tu??

nadhani sheria inawapa kuserch without warant iwapo watahisi kunaweza kuwepo uvunjifu wa amani. lakini mie napongeza kufanya tukio hilo tena kwa kushitukiza, hiyo itawapandisha chat viongozi wetu wa CDM na kuonekana si watu wa kukiuka taratibu za kiusalam.

kwa hili CCM wameshindwa, shame on them
 
Wakuu ni hivi,mie nipo kwenye eneo la tukio,ccm wakiongozwa na Aish mbunge wa sumbawanga na Ester Bulaya,walifika kwenye hotel tuliofikia,wakiwa kwenye magari mawili,na kuamuru vijana wao wachome moto mafuso mawili ya Chadema ya PA,makamanda wetu wakawadhibiti mapema,ndipo gari yao moja ikakimbia na moja aliyokuwepo Aishi tukaidhibiti,akaanza kupiga risasi,tukamdhibiti,polisi wakaja na wakatoa maelezo yao polisi
Kwa mshangao mkubwa ambao tunaamini kuwa ni shinikizo polisi wakasema wana taarifa kuwa Waitara ambaye ni mkuu wa oparesheni wa Chadema ana silaha ndani,polisi wamechunguza chumbani na hawakukuta silaha yoyote,Kwa sasa Waitara anaandika maelezo polisi
Aishi mwenye silaha na ambaye ameitumia yupo mitaani.
Mtakumbuka wiki moja nyuma nilisema kuwa tumenasa waraka wa cm unaokiri kushindwa hivyo wakakubaliana njia pekee iliyobaki ni kutumia dola
Pamoja na hayo yote makamanda tupo IMARA,na tunasonga mbele,hatulali hadi kieleweke

2tachoma vi2o vya polisi moto vyote vya igunga.. Read ma' words.. Hao polis kwenye magendo wenyewe na pinda shaidi na kupindisha sheria wenyewe, raia wenyewe sasa 2taanza polis mmoja baada ya mwingine.. Si 2najua mnapoishi. READ MA' WORD.
 
Nape IS A WANTED MAN IN IGUNGA. naomba muache hayajui ya igunga. Huwa anaenda usiku na kuondoka usiku huo huo. kama anabisha aje nimpe Evidence.

Issue ya sheria za Uchaguzi, hizo zina apply Upinzani tu. CCM is above the lawa when it come to those matters. - We need new Constitution.

Hivi na CDM nao wakaamua kubeba zao itakuaje? nauliza tu.
 
hii inatisha jaman tumuombe sana mungu atuepushie na haya mabalaa ya uchaguzi kwan viongoz wanaonesha dhahili kwamba hawapo kwa ajili ya maendeleo yetu bali ni kwa ajili ya masilahi yao binafsi cha msingi ni si wananchi kujitambua kwani mabadiliko hayaletwi na wao bali yanaletwa na sisi wenyewe.
 
Safi sana makamanda and all team of there be strong enough God is behind you all!
 
Miaka yote CCM inatuongoza haijawahi kumwaga damu.
Hawa CDM ndio wanahamasisha uwagaji damu.

Enheee we mwana Magamba.Hauoni kwamba mnaumbuka sasa kwa mbinu zenu chafu mnazotumia? Tindikali hadi kuchoma nyumba za watu.Shame on you.Afu wewe utakua mzee tu,haiwezekani kijana ukashabikia upuuuzi wa Magamba.
 
Kwa hali iliyo sasa CCM itadumu milele. Wanaojiita wapinzani hawana sera! Sera zao ni za msimu. Mfano Padri Slaa, alijichukulia umaarufu kwa suala la ufisadi. Sasa hivi hana tena tena kipya cha kuongea, na tayari anapotea kwenye ulimwengu wa siasa
\
Twende hivyo hivyo,umebaki mwnyewe kwenye forum
Siku hizi FF,Ritz,malaria sugu,kishongo wameanza kubadilika polepole
 
Wana jamii nimepigiwa simu na mmoja wa wana igunga akinijulisha kuvamiwa kambi wlipofikia Chadema ambapo vurugu ilitokea na mbunge wa Sumbawanga Aishi kufyatua risasi. Polisi wamewakamata na kuuwachia haraka na kujaribu kugeuzia kibao kwa CDM.

Hii ni hatari baada ya Rage kuonyesha silaha juzi leo zimeanza kutumika sijui itakuwaje kwa muda uliobaki wa kampeni. Nimepitia kidogo sheria za tume ya uchaguzi zinazuia kuwepo silaha kwenye kampeni isipokuwa tu kwa vyombo vya dola.

Naomba waandishi wa habari wawe wakali sasa kukemea haya kwa manfaa ya Taifa na wasikubali kurubuniwa. Pili mwenyekiti wa tume ya uchaguzi atumie rungu la sheria za uchaguzi kuadhibu kwanza chama kile kilichoonyesha na kuwa na silaha kwenye kampeni yake (CCM). Tatu Nape atuambie wana bastola ngapi kwenye kampeni hii ya Igunga na zinawalenga nani hasa? Mukama nae atuambie watanzania watumiaji wake wamepata mafunzo wapi?

Huu ni UONEVU wa wazi kabisa. Hivi Utaisha lini?
 
Wale vijana wa ccm waliopata mafunzo haramu mkoani singida,wakiwa na VX mbili za Ccm wamevamia hotel walipo makamanda wa Chadema.Uvamizi uliokuwa na lengo la kuwajeruhi makamanda na pia kuchoma moto fuso mbili za matangazo(PA)
Jaribio hili ovu limeshindwa vibaya,kwani vijana wetu waliwakamata na kuwadhibiti kisha kuwapeleka polisi,kwa sasa tupo kituoni,ntaendelea kuwajuza

Jamaa wa magamba maji ya shingo si wakubali tu wameshindwa
 
Wale vijana wa ccm waliopata mafunzo haramu mkoani singida,wakiwa na VX mbili za Ccm wamevamia hotel walipo makamanda wa Chadema.Uvamizi uliokuwa na lengo la kuwajeruhi makamanda na pia kuchoma moto fuso mbili za matangazo(PA)
Jaribio hili ovu limeshindwa vibaya,kwani vijana wetu waliwakamata na kuwadhibiti kisha kuwapeleka polisi,kwa sasa tupo kituoni,ntaendelea kuwajuza
Kati ya waalifu natumai mjamvua kanzu or kibarakashee c unajua hawakawii wale watu.
 
nataka kununua bastola na mimi nijilinde dhidi ya wabunge
naombeni muongozo nifanyeje?
 
Back
Top Bottom