Viongozi wa CHADEMA wavamiwa hotelini na Green guard wa CCM-Igunga

Upeo wako wa kusoma maandishi na kufikiri ni mdogo sana!
Nilichoomanisha hapo siyo kutaka unipe mimi ushahidi, bali ueleze CCM ilivyomwaga damu za hao uliowataja

Naomba uwasiliane na Mukama akupatie orodha ya "makomandoo 33!"
 
siku zote huwa nakupuuzia ila leo sina kazi hivyo ngoja nami nikujibu.
unaposema 'wengine wote waliosalia siasa hawajui bado' unamaanisha unawajua wanachama wote wa chadema au unaropoka tu.
Namaanisha viongozi wenu..
Hawa tunaowaona na kuwasikia ni sample ya wanachadema wote!
 
Am happy cuz kama unaongozwa na mataahira wewe sijui utakuwa ukichaa wa aina gani. Neno Ufisadi limeshapitwa na wakati..ndio maana babu yako hasikiki tena

huko ccm ndo kuna mataahira....
 
angalia kwenye swala la balozi kukutwa akiandikisha wapiga kura matokeo yake wamesema hana kosa..hapa angekuwa ni wa chadema ilikuwa inakula kwake...
Mkuu bw. Magayane mkurugenzi wa halmashauli igunga alitolea maelezo swala hilo na kusema kuwa ni kosa kisheria lkn ocd aliagizwa na ccm aseme kuwa hakuna kosa. Mi napendekeza cdm waende mbali zaidi ktk makosa na upotoshaji wa namna hiyo si wanao wanasheria? akina lisu, mdee,....... wafanyie kazi matukio hayo, upotoshaji wa ocd iswe kauli ya mwisho! balozi aadhibiwe ili liwe fundisho kwa wengine pia mi nakerwa sana tuliopo igunga tunaona matuko mengi sana yanayochefua
 
Hayo yanadhihirisha ni kwa kiasi gani chama chetu pendwa cha CDM kilivyojizatiti katika idara ya usalama na hii ni alama mojawapo kuonyesha kwamba tutakapoichukua nchi usalama wa nchi yetu utakuwa imara kulinda rasilimali zetu zinazotoshwa kila leo.Bravo makamanda,siwafagilii magamba...

mtandao wa polisi jamii ya CDM ni mpana na uko makini. bravo cdm
 
Wakuu ni hivi,mie nipo kwenye eneo la tukio,ccm wakiongozwa na Aish mbunge wa sumbawanga na Ester Bulaya,walifika kwenye hotel tuliofikia,wakiwa kwenye magari mawili,na kuamuru vijana wao wachome moto mafuso mawili ya Chadema ya PA,makamanda wetu wakawadhibiti mapema,ndipo gari yao moja ikakimbia na moja aliyokuwepo Aishi tukaidhibiti,akaanza kupiga risasi,tukamdhibiti,polisi wakaja na wakatoa maelezo yao polisi
Kwa mshangao mkubwa ambao tunaamini kuwa ni shinikizo polisi wakasema wana taarifa kuwa Waitara ambaye ni mkuu wa oparesheni wa Chadema ana silaha ndani,polisi wamechunguza chumbani na hawakukuta silaha yoyote,Kwa sasa Waitara anaandika maelezo polisi
Aishi mwenye silaha na ambaye ameitumia yupo mitaani.
Mtakumbuka wiki moja nyuma nilisema kuwa tumenasa waraka wa cm unaokiri kushindwa hivyo wakakubaliana njia pekee iliyobaki ni kutumia dola
Pamoja na hayo yote makamanda tupo IMARA,na tunasonga mbele,hatulali hadi kieleweke

Ningeomba kuuliza, hizi silaha za moto ziliombwa kwa matummizi gani? Licence inasemaje? Ni kwa ajili ya kutishia raia wakati wa uchaguzi?
Kwa namna mambo yanavyokwenda nashauri mkuu Ephata mjitahidi sana kurekodi kila tukio hata kama ni kwa kutumia hizi simu za mchana maana ccm wanatupeleka kwenye machafuko ya Kenya. Hakuna mtu mwenye akili timamu ccm na kwa bahati mbaya sana sasa wameamua kutumia silaha kutishia lakini haitachukua muda wataaua. Arusha tayari sasa Igunga.

Jambo jingine linalonipa shida sana ni huyu Mbunge Ester Bulaya kushiriki kwenye mambo ya hovyo kama haya! Nilifikiri ana akili timamu kumbe naye hayawani. Alienda kutafuta nini kwenye eneo walilokuwa CHADEMA?
 
wewe ni nani mpaka nikupe ushahi..hata nikikupa ushahi utaufanyia nini wekeni ushahi wa makomandoo mnaodai tumewaleta...

Mkuu crashwise hebu achana na wapuuzi tupange mambo ya maana hapa. Najua wewe una access na baadhi ya makamanda walioko Igunga. Mimi nilikuwa nataka tuliweke hili tukio kisheria vizuri ili watu wajue kilichotokea. Naona NANYORO haweki sawa mtiririko wa tukio hili.

1. Je tukio limetokea saa ngapi?
2.Je tukio limetokea kwenye eneo ambalo wanakaa chadema pekee au kuna wana ccm pia maeneo ya karibu na hapo?
3.Je wale vijana na wabunge wale walikuwa na vifaa gani ambavyo ni hatari?
4. Je magari yaliyotumika yalikuwa na Reg. Numbers?
5.Je huyu mbunge alikuwa na hiyo bastora kwenye tukio na wakati polisi wakifika kwenye eneo la tukio?
6.Je Polisi wameyapata maganda ya Risasi zilizopigwa juu maana yatasaidia kujua ni bastora ipi imetumika kama sikosei?

Majibu ya maswali haya yatathibitisha kama kuna hali ya hatari inayowakabiri chadema au ?
 
Mkuu bw. Magayane mkurugenzi wa halmashauli igunga alitolea maelezo swala hilo na kusema kuwa ni kosa kisheria lkn ocd aliagizwa na ccm aseme kuwa hakuna kosa. Mi napendekeza cdm waende mbali zaidi ktk makosa na upotoshaji wa namna hiyo si wanao wanasheria? akina lisu, mdee,....... wafanyie kazi matukio hayo, upotoshaji wa ocd iswe kauli ya mwisho! balozi aadhibiwe ili liwe fundisho kwa wengine pia mi nakerwa sana tuliopo igunga tunaona matuko mengi sana yanayochefua

wazo zuri. kuna kila dalili kuwa POLISI waliagizwa waoshe CCM.
hebu fikiria usalama wa huyo aliyempa muandikishaji kitambulisho hicho, halafu mwandikishaji kwa uzembe au makusudi akidondoshe sehemu tukio kubwa la uhalifu lilipotokea. nani atakuwa suspect wa kwanza kutuhumiwa?
Mnadhani akijitetea kuwa alimpa muandikishaji kitambulisho hicho ataeleweka?
Au akisema alikipoteza, alishapewa POLICE LOSS REPORT kwa ajili ya ulinzi wake?
Aliyesema muandikishaji hana kosa alipotoka yeye kama mlinzi wa raia kwani maisha ya mwenye kitambulisho yako hatarini hasa ukizingatia hali inavyozidi kuchafuka.

kesho tutasikia kitambulisho cha mtu kimeokotwa sehemu ambapo kumetokea mauaaji, lazima mwenye kitambulisho atashikiliwa na kwa bahati mbaya kesi hiyo haina dhamana
 
Namaanisha viongozi wenu..
Hawa tunaowaona na kuwasikia ni sample ya wanachadema wote!

kwakuwa umekiri kuwa kumbe uwajui wanachama wote, japo umejitetea kuwa ni sample?????, binafsi naona nisiwatoe watu kwenye mada usika.
 
Wana jamii nimepigiwa simu na mmoja wa wana igunga akinijulisha kuvamiwa kambi wlipofikia Chadema ambapo vurugu ilitokea na mbunge wa Sumbawanga Aishi kufyatua risasi. Polisi wamewakamata na kuuwachia haraka na kujaribu kugeuzia kibao kwa CDM.

Hii ni hatari baada ya Rage kuonyesha silaha juzi leo zimeanza kutumika sijui itakuwaje kwa muda uliobaki wa kampeni. Nimepitia kidogo sheria za tume ya uchaguzi zinazuia kuwepo silaha kwenye kampeni isipokuwa tu kwa vyombo vya dola.

Naomba waandishi wa habari wawe wakali sasa kukemea haya kwa manfaa ya Taifa na wasikubali kurubuniwa. Pili mwenyekiti wa tume ya uchaguzi atumie rungu la sheria za uchaguzi kuadhibu kwanza chama kile kilichoonyesha na kuwa na silaha kwenye kampeni yake (CCM). Tatu Nape atuambie wana bastola ngapi kwenye kampeni hii ya Igunga na zinawalenga nani hasa? Mukama nae atuambie watanzania watumiaji wake wamepata mafunzo wapi?
 
Mkuu crashwise hebu achana na wapuuzi tupange mambo ya maana hapa. Najua wewe una access na baadhi ya makamanda walioko Igunga. Mimi nilikuwa nataka tuliweke hili tukio kisheria vizuri ili watu wajue kilichotokea. Naona NANYORO haweki sawa mtiririko wa tukio hili.

1. Je tukio limetokea saa ngapi?
2.Je tukio limetokea kwenye eneo ambalo wanakaa chadema pekee au kuna wana ccm pia maeneo ya karibu na hapo?
3.Je wale vijana na wabunge wale walikuwa na vifaa gani ambavyo ni hatari?
4. Je magari yaliyotumika yalikuwa na Reg. Numbers?
5.Je huyu mbunge alikuwa na hiyo bastora kwenye tukio na wakati polisi wakifika kwenye eneo la tukio?
6.Je Polisi wameyapata maganda ya Risasi zilizopigwa juu maana yatasaidia kujua ni bastora ipi imetumika kama sikosei?

Majibu ya maswali haya yatathibitisha kama kuna hali ya hatari inayowakabiri chadema au ?

kwenye ccm hapo si rahisi, ganda litasaidia kugundua ni bunduki aina gani imetumika na si bunduki ya nani imefytua risasi
 
jamani updates, hao polisi wanasemaje?
Mungu akiwa upande wenu hakuna atakayewadhuru
 
Una ushaidi gani? Usiharibie hadhi JF kwa kucomment kitu usichokuwa na data.

Wale vijana wa ccm waliopata mafunzo haramu mkoani singida,wakiwa na VX mbili za Ccm wamevamia hotel walipo makamanda wa Chadema.Uvamizi uliokuwa na lengo la kuwajeruhi makamanda na pia kuchoma moto fuso mbili za matangazo(PA)
Jaribio hili ovu limeshindwa vibaya,kwani vijana wetu waliwakamata na kuwadhibiti kisha kuwapeleka polisi,kwa sasa tupo kituoni,ntaendelea
kuwajuza

CCM kilichobaki sasa ni kukizika tu kama kule Zambia. Kushinda uchaguzi kihalali, hawawezi tena na walichobakiwa nacho sasa ni mbinu chafu za FUJO na WIZI wa kura kama alivyokamatwa jana Waziri wa Kikwete Bw. Nchimbi akikimbiza kura za wizi kwenye uchaguzi wa madiwani Songea !.
Hawa jamaa Wanachosahau kwamba CDM ni chama makini na kwa makini tutalinda kura na rasilimali zote za Watanzania !
 
Mkuu bw. Magayane mkurugenzi wa halmashauli igunga alitolea maelezo swala hilo na kusema kuwa ni kosa kisheria lkn ocd aliagizwa na ccm aseme kuwa hakuna kosa. Mi napendekeza cdm waende mbali zaidi ktk makosa na upotoshaji wa namna hiyo si wanao wanasheria? akina lisu, mdee,....... wafanyie kazi matukio hayo, upotoshaji wa ocd iswe kauli ya mwisho! balozi aadhibiwe ili liwe fundisho kwa wengine pia mi nakerwa sana tuliopo igunga tunaona matuko mengi sana yanayochefua

Mkuu, balozi sio wa kuadhibiwa. Alikuwa anatekeleza maagizo ya wakuu wake wa utendaji. Hii ikifuatiliwa, mgombea wa CCM atakuwa disqualified kuendelea na kugombea. Amri hii imetoka juu kabisa kwenye vikao vya chama na serikali. Huyu balozi anatakiwa kuwa shahidi tu wa kuthibitisha mbinu chafu za CCM na serikali yake.

Tume ya uchaguzi ilitakiwa iwaagize Polisi, au, kwa kuwa vyama havina imani na polisi, iteue tume huru ya kufuatilia hiyo amri mpaka kwenye source, then sheria ichukue mkondo wake.

Cheers
 
Am happy cuz kama unaongozwa na mataahira wewe sijui utakuwa ukichaa wa aina gani. Neno Ufisadi limeshapitwa na wakati..ndio maana babu yako hasikiki tena

jinga wewe, limepitwa na wakati tangu lini?
Ufisadi si unaendelea kututafuna?
hiv we ni me au ke?
mwenye jibu anijuze
 
very good ccm. Endeleeni hivyo hivyo, kwani si ndiyo sera yenu? Sasa kuna ubaya gani mu anatekeleza sera yake, na alishapeleka vijana kambini singida. Mnataka hao vijana wawe jobles? Kazi ndo hiyo na wametumwa
hili nalo neno!
 
Back
Top Bottom