Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,225
- 219,400
Ndio kama mlivyosikia , Tayari viongozi wa Chadema Wameanza kuingia Mbeya , ukiangalia Mbeya leo unaona kabisa kwamba kuna shangwe fulani zimeanza mitaani , watu ni wengi kiasi kuliko Jumapili nyingine .
Tayari Jeshi la polisi limeahidi kulinda Maandamano ya Chadema na wananchi na kwamba hali ya usalama itaimarishwa .
RATIBA KAMILI ya ruti za maandamano hayo hii hapa
Mbalizi - Ruanda Nzovwe
Uyole - Ruanda Nzovwe
Isanga - Ruanda Nzovwe
Sisi watoto wenu wa Chadema tumerudi nyumbani , tunawaomba sana Wazee wetu mtupokee na mtuunge mkono , Ndaga Fijo