Viongozi wa CHADEMA Wameanza kuingia Mbeya

Viongozi wa CHADEMA Wameanza kuingia Mbeya

Betina atasema Nini kuhusu ukosefu wa sukari, kupanda kwa nauli na umeme usio na uhakika?
Chadema kazieni hizo kero tatu mpaka watie akili.
 
Ikiwa hutokuwapo Mbeya tarh 20 kesho,

Ondoka na wenzio waliofichama uvunguni, John na Lucas!!😀😀🔥
Kama kesho ndio mnaandamana basi ratiba zangu ziko vizuri.

Wapumbavu tuu ndio wanaweza andamana wakati kina Mbowe wanakula ruzuku wao wanaambulia maneno 😁😁😁😁
 
VIONGOZI WA CHADEMA MUWE NA UTU NA HURUMA, JE MNAONA FURAHA GANI KUWASWAGA WENZENU?, POSHO MNAGAWANA NINYI WENYEWE, FEDHA CHUNGU MZIMA ETI, MKO KAZINI, HAO WANAOSWAGWA HATA SODA HAKUNA,WALA HAMUWAFIKIRII HATA KIDOGO MUWE NA HURUMA!
FB_IMG_1707064468660.jpg
 
VIONGOZI WA CHADEMA MUWE NA UTU NA HURUMA, JE MNAONA FURAHA GANI KUWASWAGA WENZENU?, POSHO MNAGAWANA NINYI WENYEWE, FEDHA CHUNGU MZIMA ETI, MKO KAZINI, HAO WANAOSWAGWA HATA SODA HAKUNA,WALA HAMUWAFIKIRII HATA KIDOGO MUWE NA HURUMA! View attachment 2908797
Bado chawa wanalamba masufuria Monduli....yaaani ndo mmepiga kambi...

Acheni familia ipumuee
 
View attachment 2908061

Ndio kama mlivyosikia , Tayari viongozi wa Chadema Wameanza kuingia Mbeya , ukiangalia Mbeya leo unaona kabisa kwamba kuna shangwe fulani zimeanza mitaani , watu ni wengi kiasi kuliko Jumapili nyingine .

Tayari Jeshi la polisi limeahidi kulinda Maandamano ya Chadema na wananchi na kwamba hali ya usalama itaimarishwa .

RATIBA KAMILI ya ruti za maandamano hayo hii hapa

Mbalizi - Ruanda Nzovwe

Uyole - Ruanda Nzovwe

Isanga - Ruanda Nzovwe

Sisi watoto wenu wa Chadema tumerudi nyumbani , tunawaomba sana Wazee wetu mtupokee na mtuunge mkono , Ndaga Fijo
Katika shairi la PASUA UWAPE UKWELI......... BWANA MBOWE ALIWAPASUA HASWA PALE MONDULI JUZI
VIIIIVA MBOWE VIIIVA
 
VIONGOZI WA CHADEMA MUWE NA UTU NA HURUMA, JE MNAONA FURAHA GANI KUWASWAGA WENZENU?, POSHO MNAGAWANA NINYI WENYEWE, FEDHA CHUNGU MZIMA ETI, MKO KAZINI, HAO WANAOSWAGWA HATA SODA HAKUNA,WALA HAMUWAFIKIRII HATA KIDOGO MUWE NA HURUMA! View attachment 2908797
Afya yako ya akili ina shida wewe. je sio kweli kwamba kuna watu walienda Monduli kuzika na walilipwa posho (ALLOWANCES)
JE WOTE WALIOKUWEPO PALE MONDULI WALILIPWA POSHO?
 
Afya yako ya akili ina shida wewe. je sio kweli kwamba kuna watu walienda Monduli kuzika na walilipwa posho (ALLOWANCES)
JE WOTE WALIOKUWEPO PALE MONDULI WALILIPWA POSHO?
Tofautisha msiba, huku kuswagwa kama ng'ombe huku posho wakipeana wengine, inafahamu Lissu au mbowe au lema, hawaendi Mbeya bila fungu la posho za kutosha, get know this, small nyumbu! 😁
 
Bado chawa wanalamba masufuria Monduli....yaaani ndo mmepiga kambi...

Acheni familia ipumuee
Ha ha ha, dah, nendeni mkaswagwe, bana, Nyerere aliwahi kusema, ukiona mtu mzima anapendwa kubebwa na wababaji wapo, na wameridhia basi Acha wambebe, maana ndio akili zao zinavyoona!
 
Kama kesho ndio mnaandamana basi ratiba zangu ziko vizuri.

Wapumbavu tuu ndio wanaweza andamana wakati kina Mbowe wanakula ruzuku wao wanaambulia maneno 😁😁😁😁
Andiko la kishamba sana
 
Kama kesho ndio mnaandamana basi ratiba zangu ziko vizuri.

Wapumbavu tuu ndio wanaweza andamana wakati kina Mbowe wanakula ruzuku wao wanaambulia maneno 😁😁😁😁
Haya mambo ni ya wanaume, wewe kampikie mumeo akirudi kwenye maandamano ale ili usiku akupe chanjo vizuri
 
Back
Top Bottom