Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,449
- 283,758
- Thread starter
- #61
Dr Slaa naye amefika
Mambo ya kina lissu haya, haki za kifaragha bana siyo mchezo!Lakini jioni akirudi unampanulia mapaja na kiwatilifu cha kibaiolojia anakuachia nani mpumbavu zaidi?
Karibuni nyumbani wajukuu wangu,nimewaandalieni maparachichi na ndizi za kutosha,hamtalia njaa mkiwa hapa.🤓View attachment 2908061
Ndio kama mlivyosikia , Tayari viongozi wa Chadema Wameanza kuingia Mbeya , ukiangalia Mbeya leo unaona kabisa kwamba kuna shangwe fulani zimeanza mitaani , watu ni wengi kiasi kuliko Jumapili nyingine .
Tayari Jeshi la polisi limeahidi kulinda Maandamano ya Chadema na wananchi na kwamba hali ya usalama itaimarishwa .
RATIBA KAMILI ya ruti za maandamano hayo hii hapa
Mbalizi - Ruanda Nzovwe
Uyole - Ruanda Nzovwe
Isanga - Ruanda Nzovwe
Sisi watoto wenu wa Chadema tumerudi nyumbani , tunawaomba sana Wazee wetu mtupokee na mtuunge mkono , Ndaga Fijo
Samahani auntie kama nimekukwaza,ila mwambie mwanamke mwenzako asilete dharau kwa wanaume.Mambo ya kina lissu haya, haki za kifaragha bana siyo mchezo!
Wewe unaeshadidia vya wanaume wenzako ndio mpumbavuLakini jioni akirudi unampanulia mapaja na kiwatilifu cha kibaiolojia anakuachia nani mpumbavu zaidi?
Kuna shd Gani, mbona msigwa ana mawazo sn!!
Ok, nimekupata chiefulicious , ha ha ha, wanaume wa mambo kifaragha!, kwa njia hii ndio katiba mpya itapatikana ha ha ha, game of intelegency!Samahani auntie kama nimekukwaza,ila mwambie mwanamke mwenzako asilete dharau kwa wanaume.
Anawaza ugumu wa maisha unaowateketeza wananchiKuna shd Gani, mbona msigwa ana mawazo sn!!
Msigwa lazima ahare hare, kwa ujio rasmi wa Dr mihogo! Siasa hazina uadui wa kudumu.Kuna shd Gani, mbona msigwa ana mawazo sn!!
Subutu yako, ana investment zake hazijamalizika, hapo Iringa mjini, eti anawaza shida za mtu mwingine mwenye akili, mikono, miguu, kalaghabao!Anawaza ugumu wa maisha unaowateketeza wananchi
Hujui kitu weweSubutu yako, ana investment zake hazijamalizika, hapo Iringa mjini, eti anawaza shida za mtu mwingine mwenye akili, mikono, miguu, kalaghabao!
Njoo ufanye kama unajikuna mbele yangu nikuonyeshe upumbavu wangu hadi mumeo utamtukanaWewe unaeshadidia vya wanaume wenzako ndio mpumbavu
Tangu lini nyumbu akawa na akili?Njoo ufanye kama unajikuna mbele yangu nikuonyeshe upumbavu wangu hadi mumeo utamtukana
Unapenda kupumuliwa eh,naona umetoa cheko la kichoko kabisaOk, nimekupata chiefulicious , ha ha ha, wanaume wa mambo kifaragha!, kwa njia hii ndio katiba mpya itapatikana ha ha ha, game of intelegency!
Njoo uone kama nitakosea njia ndiyo utajua kama nina akili au sina,Tangu lini nyumbu akawa na akili?
Nyumbu hawanaga akiliNjoo uone kama nitakosea njia ndiyo utajua kama nina akili au sina,
Tusiandikei mate kilete uone kama sitalenga shabaha .Nyumbu hawanaga akili
OK, antie, chiefulicious, siku njema!, chadema ni mbio mbio, mara dar mara Mwanza mara Mbeya baadae wapi, mchaka mchaka chinja aliselema alija,.Unapenda kupumuliwa eh,naona umetoa cheko la kichoko kabisa