Tumeshauri gali za Matangazo zianze Kesho....amsha amsha...ili hata sisimizi wapate Taarifa
Kanda za Arusha zigawanywe..
Mrombo Olasitee Majengo Mbauda Kisongo Monduli tukutane Kona ya Mbauda ...kwa mrombo mkusanyiko unaweza kuanzia sokoni mrombo
Ngaramtoni na vitongoji vyake mguu kutokea ngara uzowe kwa Iddi na azimio sakina breki Tekiniko kuusubiri msafara wa Mrombo
Ilboru Elkidinga Mianzini tukutanee Mataa mianzini
Usa Tengeru Ngurero mguu kwa mguu tuwasombe sekei arumeru pale Novotel mafuriko yawasombe Sanawari breki Mianzini mataa kukutana na nyomi kuelekea Relini
Kijenge Mwanama chekereni njiro.....Impala
Ungalimitedi Dampo...
Sombetini....
Babati Kateshi Mbulu Karatu Loliondo Mto wa Mbu...Magharibi
Namanga Longido.....Kaskazini
Kiteto Simanjiro Naberera Kimotoro ...KUSIN
East Tanga Moshi
Arusha ITASIMAMA kishindo mpaka Kalema Mpanda