ccm inashabikiwa na inzi tu.Mtajuta kununuliwa na Jizi
Nivilaza pekee watabaki kuishabikia cdm
tehtehHesabu za ZUZU..,siku moja zuzu alikuwa yuko safarini akafika katika mji, akawekewa sahani mbili za chakula, moja ina sumu nyingine haina. Akaambiwa ukila sahani hii ina sumu utashiba kwa sababu chakula hiki ni kingi lakini utakufa baada ya muda mfupi, na sahani hii nyingine haina chakula cha kutosha hautoshiba ila utaweza kuendelea na safari..ZUZU akatabasamu, akasema nipeni chakula kingi nile nishibe..akala na kuendelea na safari yake lakini alikufa mita chache kabla hajafika mwisho wa safari..
Sijui umenielewa..!!
Utakufa utaiachaChadema inakufa.
Wewe msaliti tu! Nani kakwambia kuwa Dr. Slaa alikuwa katibu bora? Tumepata katibu msomi kuliko makatibu wa vyama vyote duniani wewe unatuambia habari za Dr. SlaaIla ki ukweli ukitaka upate katibu mwingine kama Dr Slaa kwa Chadema huwezi kupata labda kidogo angekuwepo Zitto . Tukubali huo ukweli kwamba Mbowe ameshampoteza mtu muhimu lazima aanze kujenga upya.
Ni aliyekuwa mtu muhimu KAJIPOTEZA...hakuna muhimu zaidi ya chama bro take care hamuwez kusema katibu mbovu wakati hajafanya kaz hata siku moja subraaaIla ki ukweli ukitaka upate katibu mwingine kama Dr Slaa kwa Chadema huwezi kupata labda kidogo angekuwepo Zitto . Tukubali huo ukweli kwamba Mbowe ameshampoteza mtu muhimu lazima aanze kujenga upya.
Mawazo mgando haya ndio nyie ambao kila siku mnalalamika kwamba baba angekuwepo ningekuwa na maisha mazuri,yote hiyo ni Kwa sababu ya utegemezi tafuta mawazo mbadala ya kukukwamua hapo ulipo huyo ndio uanaumeIla ki ukweli ukitaka upate katibu mwingine kama Dr Slaa kwa Chadema huwezi kupata labda kidogo angekuwepo Zitto . Tukubali huo ukweli kwamba Mbowe ameshampoteza mtu muhimu lazima aanze kujenga upya.
waje kutoka wapi..?Waende tu wengine watakuja
Majibu mepesi kwa maswali magumu uacheHao mamluki warudi ccm hatuwataki na njaa zao