Viongozi wa CHADEMA Arusha warudisha kadi

Viongozi wa CHADEMA Arusha warudisha kadi

hao watoto wa mama wa hapo uswahilini na CDM wapi na wapi?

CCM mmeingizwa mjini.
Ila ki ukweli ukitaka upate katibu mwingine kama Dr Slaa kwa Chadema huwezi kupata labda kidogo angekuwepo Zitto . Tukubali huo ukweli kwamba Mbowe ameshampoteza mtu muhimu lazima aanze kujenga upya.
Daudi Mchambuzi, delea mumeza Panadol, Dr Slaa alisha toa laana!
 
Tulia kijana naona dawa inakuingia taratibu mimi na watafuna mirungi wapi na wapi siwezi hata siku moja kuwashangilia wavunjifu wa sheria hii ndio tofauti yangu na wewe mbulula.

CdkkdP0XIAAuS6a.jpg


Aliyevaa fulana nyeupe mtoto wa Mama kashindwa kazi Benson Online kakimbilia kugombea udiwani kashindwa.Kakimbiwa na mke kazi yake ni kutafuta watoto wa matajiri ili alelewe.

Munisi kiongozi wa AFC na Chama cha mpira Arusha unajua walifanya nini zaidi ya kutafuna fedha za wachezaji hadi timu ikashika daraja.Sijaona mwanachama wa maana hata mmoja wote waganga njaa.
Mzee mzima Ngongo, endelea kupunguza maumivu kwa kumeza Panadol.
Mlaumu Mzee wa Push Up kwa kubadili upepo wa siasa nchini!
 
Huku arusha tunampango wa kubadilisha rangi majengo yote ya ccm na kupiga rangi ya cdm maana tulisha wa futa kabisa hawapo tena kwenye ramani ya A town
 
Mzee mzima Ngongo, endelea kupunguza maumivu kwa kumeza Panadol.
Mlaumu Mzee wa Push Up kwa kubadili upepo wa siasa nchini!

Mkuu Lole Gwakisa namkubali Dr Magufuli sana tena naweza sema Tanzania ilichelewa kumpa yamkini angempokea Mkapa hakika tungekuwa mbali sana.Mzee wa Msoga katurejesha nyuma sana.Mkuu wangu bahati nzuri nipo wazi sana sifungwi na siasa za vyama hata kidogo.

Vijana waliorejea CCM hawana impact yoyote katika saisa za Arusha mjini.Ally Bonge kagombea uenyekiti wa mtaa wa Kati kashindwa,kagombea udiwani kashindwa.Unaposhindwa mtaa unaoishi tangu ukiwa kinda mdogo maana yake nini ?.
 
hao watoto wa mama wa hapo uswahilini na CDM wapi na wapi?

CCM mmeingizwa mjini.
Watoto wa kiswahili mtaa wa bondeni.
Hawa watoto ni CCM fuata mkumbo from wazazi wao.
Huwa wanapewa heka ya vitumbua umemaliza
 
kurudisha kadi au kubaki nayo ni uhuru wa mwenye kadi, pia hakuna uchaguzi huku bara hivyo kwa sasa haisaidii chochote, miaka 4 ijayo maelfu watakuwa wamefikisha miaka 18 ya kupiga kura, hali haitakuwa kama sasa, omba ufike 2020....
 
Safi sana maana Mbowe aligeuza chadema kuwa yake
kurudisha kadi au kubaki nayo ni uhuru wa mwenye kadi, pia hakuna uchaguzi huku bara hivyo kwa sasa haisaidii chochote, miaka 4 ijayo maelfu watakuwa wamefikisha miaka 18 ya kupiga kura, hali haitakuwa kama sasa, omba ufike 2020....
 
Tunaomba Mungu wale vijana 46 wakumbukwe kwenye uteuzi wa wakuu wa wilaya watuondolee vurugu jamvini.Unaposema haujarizishwa na uteuzi wa Katibu mwenye rekodi mbaya katika jamii ukiulizwa haya toa orodha ya rekodi mbaya unapata kigugumizi.
 
Ila ki ukweli ukitaka upate katibu mwingine kama Dr Slaa kwa Chadema huwezi kupata labda kidogo angekuwepo Zitto . Tukubali huo ukweli kwamba Mbowe ameshampoteza mtu muhimu lazima aanze kujenga upya.
Ukweli kwa kiwango cha akili ya Lumumba
 
huko arusha walimtaka nani awe katibu? warudishe tuu tutazalisha wengine mwenyekiti mbowe namuaminia kwa kujua kutengeneza mambo
mumeambiwa cdm imeuzwa hamuamini. heri wale wenye masikio na macho maana wamesikia na kuona. cdm sasa ni chama cha mafisadi na nyumbu wao. wale cdm asilia yafaa kutimka haraka kufuata tingatinga kutumbua na kukamua majipu.
 
Watoke tu awana mchango wowote CHADEMA alitoka SLAA sembuse mbuzi awo aaaaaa awanajipya.
 
Viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Arusha wameanza kurudisha kadi za chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) mara tu baada ya uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa Chama.

Viongozi hao wa CHADEMA Arusha wametoa madai kadhaa ambayo yamewafanya kufikia uamuzi huo kwa nyakati tofauti.

Mwenyekiti wa Mtaa wa Olumuriaki Ndugu Godfrey Kitomari na wanachama wanachama wa chadema 97 wa Kata ya Sombetini wamerudi CCM kwa sababu zifuatazo;-

1. Kuridhishwa na kasi ya Mhe Dkt Magufuli.

2. Kuchukizwa na Mbowe kukiuza chama na kuiacha agenda ya kukemea ufisadi kama ilivyokuwa mwanzo na badala yake kuwatetea.

3. Uteuzi wa Katibu Mkuu asiye na uwezo lakini mwenye rekodi mbaya kwenye jamii.

CdkkXfVWAAA2dsb.jpg

Pichani: Ndugu Kitomari akiveshwa Kofia ya CCM kwenye Mkutano wa hadhara wa kukaribishwa CCM.

CdkkZoeWIAAhLtg.jpg

Wananchi wa Kata ya Sombetini wakishuhudia tukio la Mwenyekiti huyo wa Mtaa kujiunga na CCM.

CdkkdP0XIAAuS6a.jpg

WanaCCM wakimlaki Ndugu Kitomari mara baada ya kujiunga na Chama hicho.


Katika tukio jingine;
Mwenyekiti wa BAVICHA Kata ya Mjini Kati Ndugu Ally Kaole (pichani) naye amejiuzulu nafasi yake hiyo na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi - CCM.

Kaole ametoa sababu za uamuzi wake huo kuwa ni;-

1. Uteuzi wa Katibu asiyekijua Chama lakini asiyejua falsafa za Uongozi na Utawala, amesema uteuzi huo unalenga kuua Chama hicho. Ndugu Ally amedai kuwa Katibu Mkuu mpya wa CHADEMA na yule aliyestaafu hawafanani hata chembe, ni sawa na kufananisha Kifo na Usingizi.

2. Amesikitishwa na Mwenyekiti wa Chama kutetea majipu tena hadharani, akisema hatua hiyo imeondoa uhalali wa yeye kuwepo katika chama hicho ambacho aliamini kuwa kinachukizwa na majipu na kwamba kilikuwa kinaomba ridhaa ili kuyashughulikia.

944864_715173401958985_6697346186317879331_n.jpg

Pichani: Ndugu Ally Kaole (aliyekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Arusha.
Hata ni majungu Arusha hamna kitu kama hicho
 
mumeambiwa cdm imeuzwa hamuamini. heri wale wenye masikio na macho maana wamesikia na kuona. cdm sasa ni chama cha mafisadi na nyumbu wao. wale cdm asilia yafaa kutimka haraka kufuata tingatinga kutumbua na kukamua majipu.
11988773_1494482810853927_9077632859657319797_n.jpg



ACHA POROJO WEWE UNA COPY YA USHAHIDI WA MAKABIDHIANO AMA UNAROPOKA TU HAPO LUMUMBA
 
Kwa faida ya jamvi hao wote unaowaona wanatokea kata ya Kati ambayo CCM walishinda kati ya kata kumi na tisa.Sifa ya kata ya kati ni kama ifuatavyo.
1.Vijana wengi hawataki kufanyakazi muda mwingi wapo kwenye vibaraza wanapiga story za Yanga na Simba wakichoka wanaazisha story za Manchester na Chelsea.Mwisho wanahamia siasa za CCM na CDM.

2.Vijana wengi wa kata ya kati ni watumiaji wa Mirungi.Mchana wanalala usiku wanaamka na kuanzisha zoezi la kutafuna mirungi.

3.Vijana wengi wa Kata ya Kati wanategemea kodi ya nyumba za urithi.Mfano Ally Kaole Marehemu Baba aliwakuwa diwani wa kata hiyo kwa miaka mingi.Kazi kubwa ilikuwa kuwatoa wauza mirungi na wala mirungi kila wanapokamatwa.

4.Vijana wengi wanategemea mgao wa mauzo ya viwanja na kupelkea kubweteka.
Waambie mamburula wa Lumumba hawayajui ya Arusha
 
Back
Top Bottom