Viongozi wa CHADEMA Arusha warudisha kadi

the horse

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
652
441
Viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Arusha wameanza kurudisha kadi za chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) mara tu baada ya uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa Chama.

Viongozi hao wa CHADEMA Arusha wametoa madai kadhaa ambayo yamewafanya kufikia uamuzi huo kwa nyakati tofauti.

Mwenyekiti wa Mtaa wa Olumuriaki Ndugu Godfrey Kitomari na wanachama wanachama wa chadema 97 wa Kata ya Sombetini wamerudi CCM kwa sababu zifuatazo;-

1. Kuridhishwa na kasi ya Mhe Dkt Magufuli.

2. Kuchukizwa na Mbowe kukiuza chama na kuiacha agenda ya kukemea ufisadi kama ilivyokuwa mwanzo na badala yake kuwatetea.

3. Uteuzi wa Katibu Mkuu asiye na uwezo lakini mwenye rekodi mbaya kwenye jamii.

CdkkXfVWAAA2dsb.jpg

Pichani: Ndugu Kitomari akiveshwa Kofia ya CCM kwenye Mkutano wa hadhara wa kukaribishwa CCM.

CdkkZoeWIAAhLtg.jpg

Wananchi wa Kata ya Sombetini wakishuhudia tukio la Mwenyekiti huyo wa Mtaa kujiunga na CCM.

CdkkdP0XIAAuS6a.jpg

WanaCCM wakimlaki Ndugu Kitomari mara baada ya kujiunga na Chama hicho.

Katika tukio jingine;
Mwenyekiti wa BAVICHA Kata ya Mjini Kati Ndugu Ally Kaole (pichani) naye amejiuzulu nafasi yake hiyo na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi - CCM.

Kaole ametoa sababu za uamuzi wake huo kuwa ni;-

1. Uteuzi wa Katibu asiyekijua Chama lakini asiyejua falsafa za Uongozi na Utawala, amesema uteuzi huo unalenga kuua Chama hicho. Ndugu Ally amedai kuwa Katibu Mkuu mpya wa CHADEMA na yule aliyestaafu hawafanani hata chembe, ni sawa na kufananisha Kifo na Usingizi.

2. Amesikitishwa na Mwenyekiti wa Chama kutetea majipu tena hadharani, akisema hatua hiyo imeondoa uhalali wa yeye kuwepo katika chama hicho ambacho aliamini kuwa kinachukizwa na majipu na kwamba kilikuwa kinaomba ridhaa ili kuyashughulikia.

944864_715173401958985_6697346186317879331_n.jpg

Pichani: Ndugu Ally Kaole (aliyekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Arusha.
 
Hiyo picha ya tatu mh!. Jamaa ni......... Nini?. Macho kodokodo alafu kachoka kichizi bora kaenda kwa wachovu wenziwe.
 
Arudi shule
 
Hivi hamuwezi kujadili bila matusi..? Maana nyie kazi yenu kutukana tu watu hapa jamvini.
 
Kuhama chama ni hali ya kawaida kabisa, na hakuna aliyehama bila kuwa na sababu. Hiyo ndio demokrasia. Nakumbuka alihama Luis Figo toka Barcelana kwenda kw mahasimu wao Real Madrid, hivyo kuhama ni suala la kawaida kabisa, na ni vyema wahame maana wangeleta shida tu wakati wa kuchagua viongozi kwani uzoefu unaonyesha wahamaji wengi wana uchu wa madaraka mfano EL.
 
Nyie jitekenyeni tu ili mpunguze njaa...Mdanganyeni huyo mwenyekiti wenu wamkoa si wana Arusha..
 
Ila ki ukweli ukitaka upate katibu mwingine kama Dr Slaa kwa Chadema huwezi kupata labda kidogo angekuwepo Zitto . Tukubali huo ukweli kwamba Mbowe ameshampoteza mtu muhimu lazima aanze kujenga upya.
Kwamba umefanya utafiti kwa wanachama wote wa CDM Tanzania yote ukagundua kuwa Slaa ni malaika? au huyo zito?
 
Back
Top Bottom