.......ungeonekana muelewa zaidi kama ungejielekeza sababu za kufujuzwa kwao.......unaongelea matokeo ya tatizo bila chanzo cha tatizo ni kama magu anavyosema atatumbua majipu yoote ila hazumgumzii majipy ya uuzwaji wa nyumba za serikali.....Kama Zitto kabwe wangekuwepo chadema huu ndo ulkua mud a Wa kumpa ukatibu mkuu tatzo CHADEMA wanafeli katika jambo la kuhandle matatzo yao mana hawana uvumilivu km wenzao Wa ccm hua wanavumilia sana name laiti km CHADEMA ingepewa uvumilivu wa kisiasa mpaka Leo ingekua tishio maana kuna wengi walifukuzwa CHADEMA kwa tuhuma kama vile kina Kitilya Mkumbo.
Samson mwigamba, Zitto kabwe name wengneo ndo mana hadi Leo CDM imepoteza watu muhimu ktk chama chao.
Yaan jamaa Ana rembuaHiyo picha ya tatu mh!. Jamaa ni......... Nini?. Macho kodokodo alafu kachoka kichizi bora kaenda kwa wachovu wenziwe.
Nmeeleza hapo juu vzr tu kuwa viongoz weng Wa kisiasa wote wanamapungufu yao na hakun aliyekamilika njia ya kutatua internal disputes kwa CDM wanafeli coz wanajikita zaid kufukuza watu mahili bila ya kutumia diplomasia kutatua migogoro ya ndani ya chama manager kutofautiana katk falsafa ndan ya chama ni moja ya ukuaji au afya katka kujenga chama so C wangekua wavumikivu katka chili nazani watu muhmu kam kabwe wangekua bado wamo chamani CDM..ukiangalia CCM hua wanatumia diplomasia ya juu sana kusolve internal disputes within CCM so mara nyingine ni vema kutumia busara kutatua matatizo zaid ya kufukuzana chaman.......ungeonekana muelewa zaidi kama ungejielekeza sababu za kufujuzwa kwao.......unaongelea matokeo ya tatizo bila chanzo cha tatizo ni kama magu anavyosema atatumbua majipu yoote ila hazumgumzii majipy ya uuzwaji wa nyumba za serikali.....
Ni mwenye kinyesi ndani ya kichwa chake atakuwa na comment kama hizi na bado anajiona binadamu!Hahaha wataelewa
Nimwenye Akili ya NYUMBU atakea iahabikia chadema hii
Viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Arusha wameanza kurudisha kadi za chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) mara tu baada ya uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa Chama.
Viongozi hao wa CHADEMA Arusha wametoa madai kadhaa ambayo yamewafanya kufikia uamuzi huo kwa nyakati tofauti.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Olumuriaki Ndugu Godfrey Kitomari na wanachama wanachama wa chadema 97 wa Kata ya Sombetini wamerudi CCM kwa sababu zifuatazo;-
1. Kuridhishwa na kasi ya Mhe Dkt Magufuli.
2. Kuchukizwa na Mbowe kukiuza chama na kuiacha agenda ya kukemea ufisadi kama ilivyokuwa mwanzo na badala yake kuwatetea.
3. Uteuzi wa Katibu Mkuu asiye na uwezo lakini mwenye rekodi mbaya kwenye jamii.
![]()
Pichani: Ndugu Kitomari akiveshwa Kofia ya CCM kwenye Mkutano wa hadhara wa kukaribishwa CCM.
![]()
Wananchi wa Kata ya Sombetini wakishuhudia tukio la Mwenyekiti huyo wa Mtaa kujiunga na CCM.
![]()
WanaCCM wakimlaki Ndugu Kitomari mara baada ya kujiunga na Chama hicho.
Katika tukio jingine;
Mwenyekiti wa BAVICHA Kata ya Mjini Kati Ndugu Ally Kaole (pichani) naye amejiuzulu nafasi yake hiyo na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi - CCM.
Kaole ametoa sababu za uamuzi wake huo kuwa ni;-
1. Uteuzi wa Katibu asiyekijua Chama lakini asiyejua falsafa za Uongozi na Utawala, amesema uteuzi huo unalenga kuua Chama hicho. Ndugu Ally amedai kuwa Katibu Mkuu mpya wa CHADEMA na yule aliyestaafu hawafanani hata chembe, ni sawa na kufananisha Kifo na Usingizi.
2. Amesikitishwa na Mwenyekiti wa Chama kutetea majipu tena hadharani, akisema hatua hiyo imeondoa uhalali wa yeye kuwepo katika chama hicho ambacho aliamini kuwa kinachukizwa na majipu na kwamba kilikuwa kinaomba ridhaa ili kuyashughulikia.
![]()
Pichani: Ndugu Ally Kaole (aliyekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Arusha.
MSALITI hili neno linatumika vibaya sana na wenye chama chao...Wewe msaliti tu! Nani kakwambia kuwa Dr. Slaa alikuwa katibu bora? Tumepata katibu msomi kuliko makatibu wa vyama vyote duniani wewe unatuambia habari za Dr. Slaa
Too late for what..?Hivi haya maigizo ya CCM bado yanaendelea?
Nilifikiri ni wakati wa kampeni tu.
Wanachotaka kukifanya ni kutuaminisha kuwa Katibu Mkuu wa CDM mpya hafai na hakubaliki ndani ya CDM vivyo hivyo kwa Mbowe.
Too late!
Nimeongelea pande mbili kwanza tukubali kupoteza pili lazima kuanza kujenga upya. Kwako hayo ni mawazo mgando! Au umeupenda tu huo msemo?Mawazo mgando haya ndio nyie ambao kila siku mnalalamika kwamba baba angekuwepo ningekuwa na maisha mazuri,yote hiyo ni Kwa sababu ya utegemezi tafuta mawazo mbadala ya kukukwamua hapo ulipo huyo ndio uanaume
Mkuuu maswali magumu ni kuhama?hivi umesoma.hesabu.kweli?Majibu mepesi kwa maswali magumu uache