Hivi hela alizo kusanya Lissu wakati wa kampeni aliziweka wapi?Tunakushukuru , lakini kama unayo nauli basi peleka BAVICHA MAKAO MAKUU
Wanaweza kukamatwa tena na huu utawala dhalimu
Hii ndio taarifa iliyotufikia usiku huu, kwamba Mhamasishaji wa BAVICHA Twaha Mwaipaya na Katibu Mkuu wa Bavicha Mh Nusrat Hanje , leo wameachiwa huru na Serikali ya Tanzania , huku ikidai haina haja ya kuendelea na kesi hiyo, hii ni masaa machache kabla ya kusomwa hukumu ya maombi yao ya haki ya dhamana .
Vijana hawa wadogo walishtakiwa kwa kosa la kuimba wimbo wa Taifa lao huku wakipandisha bendera ya chama chao cha siasa ambacho kimesajiliwa kufanya siasa nchini Tanzania , wamekomolewa kinyama kwa kunyima dhamana kwa zaidi ya miezi minne kutokana na roho mbaya za viongozi washamba waliopata madaraka ya nchi na kuyatumia kama silaha ya kuumiza wengine .
Bali kama tulivyosema mara zote ni kwamba HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU KWENYE LOLOTE .
Mwenyezi Mungu yuko pamoja na wenye kusubiri .
Kwanini asiweke kwenye A/C ya chama?Tunakushukuru , lakini kama unayo nauli basi peleka BAVICHA MAKAO MAKUU
Wengine wengi pia waachiwe mahala popote wanaposhikiliwa.
Hii ndio taarifa iliyotufikia usiku huu, kwamba Mhamasishaji wa BAVICHA Twaha Mwaipaya na Katibu Mkuu wa Bavicha Mh Nusrat Hanje , leo wameachiwa huru na Serikali ya Tanzania , huku ikidai haina haja ya kuendelea na kesi hiyo, hii ni masaa machache kabla ya kusomwa hukumu ya maombi yao ya haki ya dhamana .
Vijana hawa wadogo walishtakiwa kwa kosa la kuimba wimbo wa Taifa lao huku wakipandisha bendera ya chama chao cha siasa ambacho kimesajiliwa kufanya siasa nchini Tanzania , wamekomolewa kinyama kwa kunyima dhamana kwa zaidi ya miezi minne kutokana na roho mbaya za viongozi washamba waliopata madaraka ya nchi na kuyatumia kama silaha ya kuumiza wengine .
Bali kama tulivyosema mara zote ni kwamba HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU KWENYE LOLOTE .
Mwenyezi Mungu yuko pamoja na wenye kusubiri .
SureSerikali na yenyewe ndio muda wao umefika wa kuteswa na "BUNGE LA EU", acha wafedheheshwe na kuaibishwa kwa kula hela za msaada wa kupambana na Covid-19.
Malipo hapa hapa duniani. Acha wafe kwa presha na kisonono tu. Tutaweka bendera nusu mlingoti, haina noma fresh tu.
Hata na Mdude ataachiwa na huu utawala dhalimuWengine wengi pia waachiwe mahala popote wanaposhikiliwa.
Yaani, hakuna watu siwapendi duniani hapa km ccm,ni mijitu Fulani hivi isiyojitambua.Bila aibu kabisaaa unatoa hii komenti , ukiwa CCM huwa mnaondolewa ubongo mnawekewa utopolo .
Lissu kafuta CCM huko ..... pole yako
Hii ndio taarifa iliyotufikia usiku huu, kwamba Mhamasishaji wa BAVICHA Twaha Mwaipaya na Katibu Mkuu wa Bavicha Mh Nusrat Hanje , leo wameachiwa huru na Serikali ya Tanzania , huku ikidai haina haja ya kuendelea na kesi hiyo, hii ni masaa machache kabla ya kusomwa hukumu ya maombi yao ya haki ya dhamana .
Vijana hawa wadogo walishtakiwa kwa kosa la kuimba wimbo wa Taifa lao huku wakipandisha bendera ya chama chao cha siasa ambacho kimesajiliwa kufanya siasa nchini Tanzania , wamekomolewa kinyama kwa kunyima dhamana kwa zaidi ya miezi minne kutokana na roho mbaya za viongozi washamba waliopata madaraka ya nchi na kuyatumia kama silaha ya kuumiza wengine .
Bali kama tulivyosema mara zote ni kwamba HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU KWENYE LOLOTE .
Mwenyezi Mungu yuko pamoja na wenye kusubiri .
Unafurahia mateso ya wengine?UVCCM walioimba Mungu mmbariki Magufuli mbona hawakuchukuliwa hatua zozote?Hii style ya kutesa wapinzani kwa kuwapa kesi kisha kuwanyima dhamana ili muwatese mahabusu halafu baadaye mnakuja kusema hamna nia ya kuendelea na kesi ni uonevu!Hao watu nao wana ndugu,jamaa na marafiki!Halafu kesho mnasema watu sio wazalendo,wakati mgawanyiko mnautengeneza wenyewe!😂🤣🤣😂😂
Hakika Wameshika Adabuu
Wajaribu Kurudia tena Ule Upumbavuu..
Miezi inakaribia mitano wanapigwa danadana huku kosa linadhaminika!!Halafu ili ujue malengo yao,baada ya kufikia hukumu eti ndio DPP anasema hana nia ya kuendelea na kesi!Huu ni ushenzi unaofanywa na watawala kuwakomoa wapinzani!Hii ni katika kesi ambayo binafsi iliniumiza mno na ilinifanya niwaze mara mbili kuhusu uhuru wa mahakama.Kama bado nakumbuka visingizio vya kuwa "hakimu anaumwa,Jaji anahudhuria kuapishwa n.k ).Poleni sana.
Exactly,na video ipo mpaka leo.Kuna wakati sisi CCM tunatakiwa tuone aibu.Double standard haitusaidii.Unafurahia mateso ya wengine?UVCCM walioimba Mungu mmbariki Magufuli mbona hawakuchukuliwa hatua zozote?Hii style ya kutesa wapinzani kwa kuwapa kesi kisha kuwanyima dhamana ili muwatese mahabusu halafu baadaye mnakuja kusema hamna nia ya kuendelea na kesi ni uonevu!Hao watu nao wana ndugu,jamaa na marafiki!Halafu kesho mnasema watu sio wazalendo,wakati mgawanyiko mnautengeneza wenyewe!
Ndio maana makada wa CCM wakifa watu wanafurahia,ni kutokana na haya!
Endeleeni!
Tulimhitaji sana Lissu kufumua mifumo dhaifu ya taifa letu.Leo kiongozi mdogo ccm anaweza kuwapa maelekezo DCI,DPP,IGPMiezi inakaribia mitano wanapigwa danadana huku kosa linadhaminika!!Halafu ili ujue malengo yao,baada ya kufikia hukumu eti ndio DPP anasema hana nia ya kuendelea na kesi!Huu ni ushenzi unaofanywa na watawala kuwakomoa wapinzani!